Cheka kidogo kwa hiki kichekesho cha Masanja mkandamizaji na mdada huyu...
Pamoja na kua Masanja mkandamizaji kwa sasa ameegemea sana katika kazi yake mpya ya uchungaji ila ni dhahiri kua bado hataacha kuvunja mbavu zetu. Masanja ni mmoja kati ya wasanii wachache kabisa...
View ArticleVideo: Ali Kiba afunguka kuhusu wimbo wa Aje Kuvuja Nigeria na Mi kutoonekana...
Kwa sasa ukianza kuzungumzia moja kati ya ngoma inayotamba kwenye muziki wa BongoFlava huwezi acha kuitaja ngoma ya Ali Kiba aliyomshirikisha Mi kutoka Nigeria. Mda mchache tu baada ya video ya ngoma...
View ArticleVideo : Ali Kiba ajibu kwa nini hamsaidii Abdu Kiba afanikiwe kimuziki
Baada ya kupata dili la kujiunga na label kubwa sana duniani ya Sony, watu wengi walimpongeza kwa hatua kubwa aliyofikia. Kwani Kiba ndio msanii wa kwanza Tanzani ambae kazi zake zitakua zikisimamiwa...
View ArticleVideo : Huyu ndio mtoto wa Aunti Ezekeil, angalia jinsi alivyofanana sana na...
Kama kuna habari ilimake headline sana wiki iliyopita basi hutaacha kuitaja ya Birthday ya mtoto wa mwigizaji Anti Ezekiel na Dansa wa Diamond anaefahamika kama Mose Iyobo. Mastar hao walikua...
View ArticleShilole na Nuh Mziwanda wakutana tena zamu hii hawajapigana ila hiki kikubwa...
Kwa sasa Shilole na Nuh mziwanda washatemana na kila mtu ana mpenzi wake, huku Nuh akiwa kattutambulisha mrembo mpya na kukiwa na skendo kua Shilole katemana na Nedy. Basi kama mtakumbuka vizuri siku...
View ArticleVideo : Nay Wa Mitego kujizawadia gari hili la zaidi ya milioni 170 katika...
Katika kusherehekea birthday yake mwaka jana, msanii Nay Wa Mitego alihamia katika nyumba yake mpya ya Kimara huku akijizawadia gari mpyaaaa. Habari hiyo ilikua gumzo sana magazetini na mitandaoni...
View ArticleVideo : Ali Kiba akubali kua ni kweli hajui kingereza
Ni mara chache sana unakutana na msanii na anakubali kua lugha ya kiingereza inampiga chenga. Nakumbuka msanii AY alikubali kua miaka kama 13 nyuma hakua akiiongea kugha hiyo kwa ufasaha lakini baada...
View ArticleVideo : Alichokisema Ali Kiba kuhusu wimbo wa Diamond anaoupenda hiki hapa
Kwa sasa Ali Kiba anafanya ziara katika vituo mbalimbali vya Radio na wiki iliyoisha alikua TBC Fm akifanya mahojiano na D Jaro Arungu na Baghdad. Katika Interview hiyo alielezea mambo mengi sana...
View ArticleDiamond anunua nyumba hii kwa milioni 140, picha hizi hapa
Today Diamond Platnumz bought new house at Kunduchi Beach, Dar es salaam, he was with his mother. It looks like a huge home for a big star like him.....
View ArticleDiamond Asema ‘WCB’ Imeajiri watu 42, Azungumzia Issue ya Kulipa Kodi
Mkali wa muziki na CEO wa label ya WCB, Diamond Platnumz amesema label yake mpaka sasa tayari imeajiri watu 42. Muimbaji huyo ambaye pia anamiliki, studio ya picha pamoja na studio ya muziki ‘Wasafi...
View ArticleVideo : Ommy Dimpoz nae kaamua kutoboa pua na kusema haya.
Kuna uwezekano mkubwa hii style mpya ya wasanii wa kiume kutoboa pua ikaenea kwa wasanii wengi zaidi. Ilianza kwa msanii Chid Benz ambae mara baada tu ya kuonekana katoboa pua ilikua gumzo sana sio tu...
View ArticleVideo : Jionee Diamond Platnumz akicheza singeli nyumbani kwake, noma sana.
Kwa wakazi wa Dar na mikoa ya pwani mtakubaliana na mimi kua mziki aina ya kisingeli kwa sasa unakubalika sana. Kwa mfano ukikatiza mitaa mingi ya Dar lazma utakuta sehemu au ndani ya bodaboda au...
View ArticleTucheke kidogo na video hii ya masanja akisifia msosi huu kutoka kwa wajaruo
Wengi wameshamzoea kumuona Masanja Mkandamizaji akichekesha katika vipindi vya TV ila ni wachache sana wanaojua kua Masanja ni mchekeshaji zaidi pale anapokua nje ya kamera. Wiki iliyoisha Masanja au...
View ArticleDIAMOND pamoja na WCB watoa MADAWATI 600 kwa mkuu wa mkoa wa DAR
Msanii @diamondplatnumz na familia nzima ya @wcb_wasafi walifika ofsini kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe @paulmakonda leo hii na kumkabidhi madawati 600 kwa ajili ya wanafunzi wa shule za Dar es...
View ArticleDiamond aitambulisha kiaina kolabo yake mpya na Raymond instagram
Diamond Platinumz kupitia akaunti yake ya Instagram amepost kuwa miongoni mwa ngoma anazopenda kusikiliza kwa sasa kwenye gari lake ni ile kolabo aliyofanya na Raymond ambayo hata hivyo amegoma...
View ArticleVideo : Jionee Nay wa Mitego alivyomwagiwa maji usiku huu katika birthday yake
Leo ni siku kubwa kwa msanii Nay Wa Mitego kwani ni siku ambayo anasherehekea miaka kadhaa tangu azaliwe. Siku chache zilizopita tuliwatea habari kuhusu zawadi aliyopanga kujizawadia ammbayo ni gari...
View ArticleVideo : Huyu ndio Dj Sinyorita, Dj Mrembo zaid Tanzania, anatoka Clouds Fm.
Ni ukweli usiopingika kua ukiamua kutaja watangazaji wa kike ambao walikua wana pendwa sana na vijana na usipomtaja Dj Fetty basi watu wengi wangekupinga. Baada ya kufanya kazi hiyo kwa miaka mingi...
View ArticleJionee video ya sanamu ya Freemason iliyopo nyumbani kwa Nay wa Mitego
Nay Wa mitego amekua akihusishwa sana na Freemason, hii ishu haijaanza leo imeanza toka kitambo. Hii ni kuanzia alama ambazo mara nyingi amekua akizionyesha katika video zake na hata namba za gari zake...
View ArticleVideo : Wacheki lulu na Majay walipohudhuria harusi pamoja kama Mr and Mrs
Kwa sasa sio siri tena kua Lulu msanii kutoka Bongomovies anatoka kimapenzi na Majay msimamizi wa EFM Radio ya Dar. Kwa mara ya kwanza wawili hao waliweka uhusiano wa wazi wakiwa nchini Nigeria ambako...
View ArticleVideo : Jionee wizi mpya wa mpesa na tigo pesa, jamaa kaibiwa 720,000
Utapeli umekua mwingi sana hapa mjini, watu wengi wanatapeliwa kila siku. Kutapeliwa ni kutapeliwa tu haijalishi ujanja utakaotumika ni wa sasa au wa zamani. Ila siku za karibuni kumetokea aina mpya ya...
View Article