Quantcast
Channel: BongoClan Tanzania™
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3623

Video : Alichokisema Ali Kiba kuhusu wimbo wa Diamond anaoupenda hiki hapa

$
0
0
Kwa sasa Ali Kiba anafanya ziara katika vituo mbalimbali vya Radio na wiki iliyoisha alikua TBC Fm akifanya mahojiano na D Jaro Arungu na Baghdad. Katika Interview hiyo alielezea mambo mengi sana ikiwemo kuvuja kwa wimbo wake, video ya wimbo huo wa Aje pamoja na dili lake la Sony.

Ikafika kipindi D Jaro akamuuliza ni wimbo gani wa Diamond alikiba anapenda kuusikiliza, japo kulitokea ubishani kidogo ila Ali Kiba alijibu swali hilo kwa kusema hayaaaa, tizama video hapa chini


Viewing all articles
Browse latest Browse all 3623

Trending Articles