
Sasa usiku ilipofika saa6 ndugu jamaa na marafiki wa msanii huyo walimfanyia suprise ya nguvu na kummwagia ndoo za maji za kutosha Nay. Na inaonekana wamepania sana kwani mmoja wao alisikika akisema wanangojea na kukuche waendelee na zoezi hilo. Tazama video akimwagiwa maji hapa chini...