Quantcast
Channel: BongoClan Tanzania™
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3623

USIPOCHEKA KWA KUANGALIA VIDEO HIZI ZA JAMAA WAKICHEZA WIMBO MPYA WA DIAMOND, NAKURUDISHIA BUNDLE LAKO

$
0
0
ss
Diamond Platinumz kupitia account yake ya Instagram amekuwa akipost video tofauti za mashabiki wake wakicheza style mpya ambayo ameitumia kwenye wimbo wake wa Number One. According to Diamond video nyingine zinatoka nje ya Tanzania na baadhi zinatoka hapahapa Tanzania. Cheki baadhi ya hizi video,






Video zote kutoka kwenye Instagram ya Diamond

Viewing all articles
Browse latest Browse all 3623

Trending Articles