JE WAJUA TANZANIA NI NCHI YA TATU KWA KUA NA WINGI WA WALEVI AU WANYWA...
Kinywaji aina ya mbege kikiandaliwa tayari kwa kunywewa na wateja. Tungependa kuona Tanzania ikichukua nafasi za juu barani Afrika katika medani za soka, riadha,ndondi n.k lakini kwa bahati mbaya...
View ArticleKUA WA KWANZA KUCHEKI PICHA ZAIDI YA 20 ZA KLA KILCHOJIRI JANA FIESTA MBEYA
Msanii wa muziki wa kizazi kipya,ambaye kwa sasa anafanya vyema kwenye anga za muziki huo,Neylee akiimba kwa hisi jukwaani huu wakati tamasha la Serengeti Fiesta likiendelea kwa shangwe ndani ya...
View ArticleUMEISIKIA SKENDO YA DIAMOND KUMPA MIMBA DENTI WA FORM 4? SOMA HAPA UJUE ZAIDI
MREMBO aliyetimuliwa shule akiwa kidato cha nne baada ya kutundikwa mimba, Sasha Juma ameibuka na madai kuwa amezaa na staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’.MCHEZO MZIMA Habari kutoka...
View ArticleDUH, HIVI NDIVYO ZA DAZ BABA ALIVYOHARIBIKIWA, YASEMEKANA KESHAANZA KUTUMIA...
MASKINI Daz Baba! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia habari ya kusikitisha ya msanii huyo ambaye jina lake kamili ni David Jacob kunaswa akiwa amezima mjini hapa huku ulevi wa kupindukia ukidaiwa kuwa...
View ArticleJE UNAIJUA HISTORIA YA LULU TOKA MTOTO HADI SASA? BASI SOMA HISTORIA YAKE HAPA
INANICHUKUA saa kadhaa kuongea na mwigizaji nyota katika tasnia ya filamu Bongo Elizabeth Michael ‘LULU’ kama lilivyo jina lake kwa sasa ni lulu kweli katika tasnia ya filamu, inaaminika kuwa binti...
View ArticleUSIPOCHEKA KWA KUANGALIA VIDEO HIZI ZA JAMAA WAKICHEZA WIMBO MPYA WA DIAMOND,...
Diamond Platinumz kupitia account yake ya Instagram amekuwa akipost video tofauti za mashabiki wake wakicheza style mpya ambayo ameitumia kwenye wimbo wake wa Number One. According to Diamond video...
View ArticleJUSTIN BIEBER NA CHRISS BROWN WANAELEKEA KUA WEHU, UMEONA WALICHOKIFANYA?...
Baada ya kushirikiana kwenye wimbo wa NEXT TO YOU, Justine Bieber aamua kukshirikisha mshkaji wake Chris Brow kwenye sanaa ya uchoraji Graffiti. Chris Brown Alishirikishwa na Justine Bieber kuchora...
View ArticleHATIMAYE SUGU AJISALIMISHA POLISI, SOMA ALICHOKISEMA MNYIKA HAPA
BAADA ya Jeshi la Polisi mkoani Dodoma kumsaka kwa siku mbili bila mafanikio mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi, maarufu kama Sugu (CHADEMA), akidaiwa kumpiga na kumjeruhi mmoja wa askari wa Bunge,...
View ArticleWANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA WALIPUKIWA NA BOMU HUKO MOROGORO...!! SOMA...
Taarifa kwa mujibu wa ITV — Wanafunzi wawili wa kidato cha kwanza katika shule ya sekondari Matombo katika wilaya ya Morogoro wamejeruhiwa, baada ya kulipukiwa na kitu kinachosadikiwa kuwa ni bomu,...
View ArticleHAPPY BIRTHDAY AGNESS MASOGANGE:
JANA TAR 07.08.2013 NI BIRTHDAY YA AGNES MASOGANGE JAPO KUWA YUKO AFRIKA YA KUSINI KUTOKANA NA MATATIZO YA KUKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA KATIKA UWANJA WA NDEGE WA AFRIKA YA KUSINI.SO UNGANA NASI KWA...
View Article"NIKO KAMILI GADOOO!!!" AUNT EZEKIEL ANENA...TAZAMA MAPICHA YA MWANZO IN THE...
Huyu ndiye Super Star Aunt Ezekiel at Nyama Choma Posta Ground Kijitonyama, jana aliambiwa kidonda chake kimeoza na mkono utakatwa kumbe ulikuwa ni uongo wa mchana, she is just fine!!
View ArticleMSANII WA VICHEKESHO MASAI NYOTA MBOVU AKUNUSHA TUHUMA ZA KUWAMANAIKI...
Tuhuma za masai nyotambovu tulizozipata kupitia watu wake wakaribu za kitendo cha kuwa karibu na wanafunzi wa kike wa sekondari na kujifanya anawatania kumbe ana lake jambo moyoni, na pia wazazi wa...
View ArticleMELI YA TANZANIA YENYE MADAWA YA KULEVYA YA THAMANI YA SH. BILIONI 123...
his is the dramatic moment when drug smugglers set fire to a ship carrying more than £50 million worth of hashish after being spotted by customs officials. Thick, dense plumes of smoke quickly billowed...
View ArticleYAJUE MAMBO 10 AMBAYO WANAWAKE WAMEWAZIDI WANAUME... SOMA HAPA
1. Wana Nguo Nyingi Kuliko Wanaume. 2. Wanafahamu Nani Ni Baba Halisi Wa Watoto Wao. 3. Ni Wepesi Kupenda Na Wakipenda Hupenda Kweli. 4. Wanaoga Mara Nyingi Zaidi Kwa Siku. 5. Wana Huruma Sana Ingawa...
View ArticleJOVIN A.K.A SUPER STAR MSANII WA MPYA AMBAYE YUPO CHINI YA BOSS NGASA
Msanii mpya wa muziki wa kizazi kipya anayejulikana kama jovin ameachia ngoma yake ya kwanza itakayomtambulisha kwenye game ya bongo flava, kijana huyu anefanya miondoko mbalimbali hivi karibuni...
View ArticleHUYU NDIO MREMBO KUTOKA BONGO MOVIE ALIYEFARIKI JANA, TAZAMA PICHA HAPA
Mwigizaji Zuhura Maftah Maarufu Kama Melissa Afariki Dunia Leo 8/9/2013 .Kwa taarifa tulizozipata hapa sammisago.com aliumwa week chache zilizopita. Ni mwigizaji aliyefanya kazi na bongo movie kwa...
View ArticleKUA WA KWANZA KUTAZAMA JINSI FIESTA IRINGA ILIVYOKUA KINOMANOMA, BOFYA HAPA
Anaitwa Shilole na Skwadi lake wakilishambulia jukwaa vilivyo usiku huu kwenye tamasha la Serengeti Fiesta 2013 Pichani ni sehemu ya wakazi wa Mkoa Iringa na vitongoji vyake wakiwa wamejitokeza kwa...
View Article