$ 0 0 JANA TAR 07.08.2013 NI BIRTHDAY YA AGNES MASOGANGE JAPO KUWA YUKO AFRIKA YA KUSINI KUTOKANA NA MATATIZO YA KUKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA KATIKA UWANJA WA NDEGE WA AFRIKA YA KUSINI.SO UNGANA NASI KWA KUMTAKIA HERI KATIKA SIKU YAKE HII YA KUZALIWA