Kijana
huyu ambaye hatukufanikiwa kupata jina lake, leo majira ya saa saba
kasoro katika maeneo ya Dodoma Inn karibia na msikiti wa swali kabla
hujasaliwa, kibaka huyu alidabwa na wananchi wenye
hasira kali na kupatiwa kipigo kitakatifu baada ya kujaribu kuiba kwenye
nyumba iliyoko karibia na msikitini huo na kutokufanikiwa, kibaka huyu
alifanikiwa kuingia ndani ya nyumba hiyo na kushtukiwa kabla hajaanza
kuiba na papo hapo kuanza kuchezea kuchapo:
CREDIT: kutoka kwa mdau kwa njia ya WhatsApp: Rajabu aka Bana manyema: