
Pichani ni hayati Bw. Adubo Omer’s. Imefahamika kuwa marehemu alikuwa na majina mengine : Adubo Omer, Mustafa Omer, Omer Mustafa. Pia aliishi katika miji ifuatayo : Lincoln and Omaha in Nebraska. Pia aliishi Des Moines and Cedar Rapids Iowa.Kwa taarifa zaidi unaweza kuwasiliana na wafuatao:
Ben Kazora @269 873 0937
Viola Mbise@ 405 613 3445
Tanzanian Dallas Community leaders.