Quantcast
Channel: BongoClan Tanzania™
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3623

HIZI NDO MPYAAAAAAAAA KUTOKA KATIKA CHANZO CHETU NDANI YA FAMILIA YA MASOGANGE, SOMA STORY HAPA

$
0
0


Mtanzania Agnes Gerald, maarufu Masogange, ameachiwa huru na Mahakama ya Kempton ya jijini Johannesburg, baada ya kulipa faini ya R30,000 (Sh4.8 milioni) kwa kosa la kubeba kemikali zinazotumika kutengeneza dawa za kulevya.
Lakini hata hivyo kwa mujibu chanzo chetu cha toka kwa mtu wa karibu na familia ya Masogange amesema msanii huyo hatohitaji mapokezi yoyote pindi atakapowasili nchini kwa vile hao wanaopanga mapokezi ndio wanafiki wakubwa. Ambao walikuwa wanashangilia alipokuwa jela.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 3623

Trending Articles