![IMG_4606]()
Mwana
Fa mara tu alipowasili ofisi za VOA Washington Dc na kupokelewa na mkuu
wa idhaa hiyo Mwamoyo Hamza siku ya Ijumaa Novemba 15 akiwa na Khadija
Riyami (kati kati) na watangazaji wa idhaa kabla ya kuingia kwenye
kipindi cha Live Talk kinachorushwa kila Ijumaa na VOA.
![IMG_4630]()
Mkuu wa idhaa ya Kiswahili ya VOA Mwamoyo Hamza kushoto na Mwana Fa na mwenyeji wake Dj.Rich Mwandemane.
![IMG_4626]()
Khadija Riyami kushoto akiwa na Mwana Fa na Dj Rich.
![IMG_4628]()
Wakiwa na prodyuza wa idhaa ya Kiswahili Duane Collins.
![IMG_4623]()
Kshoto ni Mkamiti Kibayasi akiwa na Mwana Fa
![IMG_4642]()
Mwana Fa akiwa na mtangazaji wa Music Time in Africa Heather Maxwell.
![IMG_4613]()
Akiwa Live ndani ya studio.
![IMG_4637]()
Mwana Fa na Dj Rich kwenye chumba cha mikutano VOA.
![IMG_4639]()
Mwana Fa na Dj wakiwa studio za TV ya VOA.
![IMG_4641]()
Ndani ya studio ya TV.
![IMG_4646]()
Fa akipozi ndani ya studio.
![IMG_4631]()
Dj Rich ndani ya nyumba.
THANKS TO SUNDAY SHOMARI