HIVI NDIVYO MSANII WA BONGO FLEVA SAM WA UKWELI ALIVYOELEZEA JINSI ALIVYOMUUA...
Msanii makali wa bongo fleva Sam wa ukweli leo katika kipindi cha leo tena amewatia watu simanzi kutoka na historia ya maisha yake ambayo imejaa majonzi na simanzi. Akizungumza na Dina katika kipindi...
View ArticleCHADEMA YATWAA UNAIBU MEYA ARUSHA
Mshindi wa kiti hicho, Diwani wa Kata ya Daraja Mbili, Prosper Msofe. CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimeibuka kidedea katika uchaguzi wa Naibu Meya wa Jiji la Arusha, huku kikisisitiza...
View ArticleTAZAMA PICHA 5 ZA DIAMOND ALIPOKUA AKIFANYA MAHOJIANO NA EBONY TV YA NIGERIA
Bi dada mcheshi sana huyu..............
View ArticleKUA WA KWANZA KUTAZAMA PICHA ZAIDI YA 10 ZA MWANA FA ALIPOTEMBELEA STUDIO ZA...
Mwana Fa mara tu alipowasili ofisi za VOA Washington Dc na kupokelewa na mkuu wa idhaa hiyo Mwamoyo Hamza siku ya Ijumaa Novemba 15 akiwa na Khadija Riyami (kati kati) na watangazaji wa idhaa kabla ya...
View ArticleHUYU NDO BIBI KIZEE ANAEYE VUTA SIGARA 15 KWA SIKU AMEANZA AKIWA NA UMRI WA...
Dorothy Howe.SUSSEX, UinngerezaBIKIZEE wa umri wa miaka 100 ameibuka na kusema kuwa amevuta sigara laki tano tangu akiwa msichana mdogo.Dorothy Howe ambaye ni katibu muhtasi mstaafu kutoka Uingereza...
View ArticleWAKATI TUKIZUNGUMZIA MAJANGA YA TAIFA HILI NALO NI MOJA YAO AND THAT IS...
KUNA VITU VINACOST NCHI ZAIDI KULIKO HAYO MAREKEBISHO NA HII ILINIKUMBUSHA WAKATI ULE ZANZIBAR WALIKAA BILA UMEME WAKATI WA MIEZI AISEE,,HII NI AIBU NA HII SIO HAKI KWA MWANANCHI.HAYA TUSUBIRI TUONE...
View ArticleKAMA ULIKUA HUJUI CHANZO CHA BOB JUNIOR KUMTEMA MKE WAKE, BASI MSIKILIZE BOB...
Bob Junior Sharobaro Mwanamuziki kwenye muziki wa kizazi kipya Bob Junior hivi karibuni amefunguka na kuweka wazi sababu zilizomfanya aamue kuachana na mke wake.Katika mahojiano niliyofanya naye kwenye...
View ArticleWASANII WA KIZAZI KIPYA WAZIDI KUJIUNGA NA CHADEMA, SASA NI AFANDE SELE
Hatimaye msanii mkongwe wa bongofleva hapa nchini Afande Sele amefunguka leo na kusema kuwa hii leo anajiunga rasmi na CHADEMA, haya hapa chini ndiyo maneno yake kupitia facebook account yake"Hakuna...
View ArticleRIHANNA NA DRAKE SASA NI ZAIDI YA KAKA NA DADA...MASHABIKI WASEMA KUNA JAMBO
Inavyoonekana Rihanna ni ‘team drake’ na Drake ni ‘team Riri’ na hilo tu linatosha kuwafanya wawe zaidi ya marafiki, kwasababu inavyoonekana ‘urafiki’ wa wawili hao unazidi kuimarika kadri siku...
View ArticleTAZAMA PICHA ZA JUMBA LA KFAHARI LA MSANII TIMBERLAKE LILILOPO KATIKA MILIMA...
Photo Source: Bauer Griffin
View ArticleEXCLUSIVE : DIAMOND AWA MTANZANIA PEKEE ALIYEHUDHURIA HARUSI YA P-SQUARE, KUA...
Pichani ni Diamond Platnumz msanii kutoka bongo akiwa na bwana harusi Peter wa Psquare pale walipokutana huko Lagos Nigeria kwenye harusi ya Peter. Diamond yupo nchini Naija kwaajili ya utengenezaji...
View ArticleHUYU NDIO PRODUCER "GERALD" ALIYE TENGENEZA NGOMA YA NASOMESHA BURE YA...
Katika Pitapita zetu kutafuta habari tukakutana na Producer aliyeandaa nyimbo ya msanii Trubadour - Nasomesha bure. Nyimbo hii imekua gumzo sana kwenye blog mbalimbali kwani ndani ya nyimbo hii...
View ArticleTAZAMA PICHA ZA KILICHOJIRI KWENYE 40 YA MAREHEMU ALBERT MANGWEA.
Kila tarehe 16nov hua ni siku ya kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa ndugu yetu/mpendwa wetu Albert Mangwea,ambae alizaliwa huko songea mwaka 1982.Baadae wazazi kuhamia morogoro. Shughuli ya...
View ArticleYULE MBIBI MBONGO AISHIE UINGEREZA ANAYETAFUTA UMAARUFU KWA KUWEKA PICHA ZA...
SAY WHATTTTTTTTTTTTTTTT''ANY NEW MATUSI YET'''?CHEZEA TOP IN TOWN ' HAWAOGOPIIIIIII''NA KAWAUWA HATERS WAKE WOTEEEEE''' HABARI NDIYO HIYOOOO'''YANI THE TALK OF MUJINI'' HOT XMAS MAANDALIZI YA WINTER...
View ArticleJAMBO SQUARDS NA LADY FIRE WATISHIWA KUUAWA NA MTU ANAYEJIITA KAKA KIBO WA...
Kuanzia kushoto ni Nigger C, Ordinally na Lady FireExclussive akiongea na DjHaazu wa MJ FM Arusha mmoja kati ya member wanaounda kundi la Jambo Squard NIGGER C a.k.a Chaalii Mtoto wa bibi amefunguka...
View ArticlePROF JUMA KAPUYA AZIDI KUBANWA. MKUU WA JESHI LA POLISI NCHINI IGP MWEMA...
SAKATA la Mbunge wa Urambo Magharibi, Prof. Juma Kapuya (CCM) kudaiwa kumbaka mwanafunzi na kumtishia kumuua, linazidi kuchukua sura mpya ambapo Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Said Mwema na...
View ArticleHAYA NDIO MAJIBU YA VIPIMO VYA UKIMWI VYA MANAIKI SANGA FUSKA, WASICHANA...
MsaniI Irinw Owoya akiwa amekumbatiana na Manaiki Sanga huku mastaa hao wakionekana kukolea kilaji ile mbaya!Ama kweli acheni mungu aitwe Mungu Msanii aliyeshika ustaa namba moja Tanzania kwa skendo...
View Article