Quantcast
Channel: BongoClan Tanzania™
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3623

WAKATI TUKIZUNGUMZIA MAJANGA YA TAIFA HILI NALO NI MOJA YAO AND THAT IS UMEME,TANZANIA ITAKUWA GIZA KWA SIKU KUMI NA MOJA MIJI YA DAR-ES-SALAAM,TABORA,MWANZA,ARUSHA,SHIYANGA,MBEYA,SINGIDA AND MORE!!!

$
0
0

KUNA VITU VINACOST NCHI ZAIDI KULIKO HAYO MAREKEBISHO NA HII ILINIKUMBUSHA WAKATI ULE ZANZIBAR WALIKAA BILA UMEME WAKATI WA MIEZI AISEE,,HII NI AIBU NA HII SIO HAKI KWA MWANANCHI.HAYA TUSUBIRI TUONE WATASEMA NINI BAADAE BUT MWAKA 2013 NA BADO TUNAISHI KWA MGAO WA UMEME,,VITU MUHIM NCHINI KAMA MAJI,UMEME,BARABARA NDIO SHIDA KUBWA SANA TANZANIA,,THEY SAY A CHANGE IS GONNA COME BUT THE QUESTION IS WHEN!!

Viewing all articles
Browse latest Browse all 3623

Trending Articles