Katika Pitapita zetu kutafuta habari tukakutana na Producer aliyeandaa nyimbo ya msanii Trubadour - Nasomesha bure. Nyimbo hii imekua gumzo sana kwenye blog mbalimbali kwani ndani ya nyimbo hii Trubadour amewachana wasanii mbali mbali kama kina Dogo Janja, Young Killer nk Sasa Bongoclan tumeamua tuwaletee picha zake kwanza wakati tukiwa katika maandalizi ya mwisho ya kuwaletea Interview yake