Quantcast
Channel: BongoClan Tanzania™
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3623

BREAKING NEWS: WAFANYABIASHARA WENYE MADUKA KARIAKOO WAGOMA KUFUNGUA MADUKA, TAZAMA PICHA HAPA NA SOMA MKASA MZIMA HAPA

$
0
0
Wafanyabishara ambao wanamiliki maduka maeneo yote ya kariakoo leo asubuhi wameweka mgomo wa pamoja wakutofungua maduka yao wakipinga uamuzi wa TRA kutaka kila duka kuwa na mashine.

Mitaa yote ya Kariakoo, Msimbazi, Uhuru, Lumumba, Aggrey, Mchikichi, Narung'ombe, Tandamti, Congo, kote maduka yamefungwa baada ya kutangaziwa na umoja wa wafanyabiasha.

Wafanyabishara wanapinga bei kubwa ya mashine ambayo ni milioni moja mpaka lakini nane.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 3623

Trending Articles