BREAKING NEWS: WAFANYABIASHARA WENYE MADUKA KARIAKOO WAGOMA KUFUNGUA MADUKA,...
Wafanyabishara ambao wanamiliki maduka maeneo yote ya kariakoo leo asubuhi wameweka mgomo wa pamoja wakutofungua maduka yao wakipinga uamuzi wa TRA kutaka kila duka kuwa na mashine. Mitaa yote ya...
View ArticleJE UNAMJUA MKE WA HAYATI BOB MARLEY? BASI KAMA ULIKUA HUMJUI BASI MCHEKI NA...
Anaitwa Rita Marley, mwanamama huyu ndo mke halali wa mwanamuziki maarufu wa Reggae Bob Marley. Itakumbukwa kua Bob Marley alifariki mwaka 1981 kwa ugonjwa wa kansa. Wakati alipofariki aliacha kazaa...
View ArticleMSIKILIZE MWANA FA ALIPOHOJIWA NA VIJIMAMBO, AJIBU KUHUSU ISHU YA KUHUSISHWA...
Mwanamuziki wa kizazi kipya anaefanya vizuri kwenye tasnia hiyo ya Bongo Flava, Mwana FA leo Jumatatu Novemba 18, 2013 alonga na Vijimambo aelezea historia yake kwa ufupi na kwanini yupo Marekani je...
View ArticleKIVAZI CHA DIAMOND CHAWA GUMZO…SOMA COMMENTS ZA WASHABIKI.. CHEKI HAPA
So Diamond Platnumz jana alikuwa miongoni mwa wageni waalikwa waliohudhuria harusi ya kimila ya Peter Okoye wa kundi la P-Square na mchumba wake, Lola Omotayo iliyofanyika jijini Lagos, Nigeria....
View ArticleMKE WA MSANII DR JOHN AFARIKI DUNIA SIKU YA LEO.
Habari zilizotufikia ni kua mke wa DR John mmoja wa wasanii wanaounda kundi la Wagosi wa kaya amefariki dunia siku ya leo. Tunaendelea kutafuta mawasiliano na mwakilishi wetu ambaye atatuunganisha na...
View ArticleLORI LAGONGANA NA TOYOTA NOAH NA KUUA WATU SABA ENEO LA DAKAWA MOROGORO...
Morogoro.Habari zilizotufikia hivi punde zinasema kwamba watu saba wamethibitishwa kufariki dunia papo hapo muda mfupi uliopita katika ajali ya gari iliyotokea mkoani Morogoro.Kwa mujibu wa vyanzo vya...
View ArticleBREAKING NEWS : PAPII KOCHA WAREJESHWA JELA MAISHA BAADA YA WASHINDWA TENA
Ile hukumu ya rufaa ya mwanamuziki Nguza Viking na mwanaye Johnson Nguza 'Papii Kocha' imewarejesha jela maisha baada ya hoja za serikali za kukazia hukumu kuzidi zile za upande wa utetezi.Babu Seya...
View ArticleVIDEO YA MFANYABISHARA ALIYEUA MWANAMKE MMOJA NA KUJERUHI WATU WATATU NA...
Mtu mmoja anayedaiwa kuwa ni mfanyabishara wa magari kutoka jijini Mwanza,amemuua mwanamke mmoja na kujeruhi vibaya watu watatu kwa kuwapiga risasi sehemu mbalimbali za miili yao katika eneo la ilala...
View ArticleMTOTO WA WILL SMITH KWENYE PENZI ZITO LA MDOGO WAKE KIM KARASHIAN
Kylie Jenner (mdogo wa Kim Kardashian) na Jaden Smith mambo si mabaya. Binti sasa anapata huduma zote anazostahili mtoto wa kike kupata kutoka kwa mpenzi wake wa kiume. Ili linathibitika pale ambapo...
View ArticleTAZAMA PICHA 20 ZA MJENGO WA LILI WAYNE WENYE THAMANI YA ZAIDI YA SHILINI...
Dwayne Michael Carter, Jr anajulikana kama Lil Wayne, anamiliki mjengo wenye thamani ya dola za kimarekani 14 ambazo ni sawa na shilingi za kitanzania zaidi ya bilioni 22 na nusu, jengo hili lipo...
View ArticleZIDAN APIGWA NYUNDO YA MIAKA SITA JELA , DOMS KIDS HAPA
Mahakama moja nchini Misri imemuadhibu mchezaji wa zamani wa timu ya soka ya taifa hilo Mohamed Zidan kwenda jela kwa miaka sita baada ya kumkuta na hatia ya kutoa cheki tatu mbovu kwenye kampuni ya...
View ArticleVIBE MAGAZINE NDIYO HABARI YA MJINI SUKARI YA WAREMBO DIAMOND
Diamond kwenye magazine ya Vibe kama unavyoona picha hii inayopamba magazine hayo yaliyoingia sokoni Nov 19 uko bongo mjini. Diamond jina la utani ujulikana kama sukari ya warembo. Jina hilo amepewa...
View ArticleNGOMA AFRICA BAND KUTUMBUIZA 23.NOV.2013 NDANI YA ÜBERSEE-MUSEUM BREMEN,...
Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya “Ngoma Africa band” a.k.a FFU watarajiwa kutumbuiza usiku wa jumamosi 23.November 2013 katika ukumbi wa Übersee-Museum mjini Bremen,mchini Ujerumani....
View ArticleHATIMAYE VIDEO YA DIAMOND YAANZA KURUSHWA KWENYE CHANNEL ZA KIMATAIFA, SOMA...
Lilikuwa swali kwamba inakuaje video iliyotumia ya gharama kubwa zaidi ya msanii wa bongoflava haipati airtime kwenye vituo vya kimataifa wakati video nyingine za wasanii wa muziki huu huu...
View ArticleTASWIRA YA MUSIC VIDEO MPYA YA KANYE WEST SAFARI HII HAJATAKA MAKUU MKE WAKE...
Kanye akiwa na mke wake Kim ndani ya video yake mpya safari hii Kanye akimshirikisha mke wake ndani ya chupa hicho full malavidave kiroho safi. Chupa hicho kilikuwa kinatayarishwa uko kwa Elizabeth...
View ArticleMABESTE AHAIDI KUYATAJA MABAYA ALIYOFANYIWA NA B HITS, NI BAADA YA KUJITOA...
Mabeste pamoja na wasanii wenzake Vanessa Mdee na Gosby imetangazwa rasmi kwamba hawapo tena kwenye lebo ya B hits music group. Mabeste ametoa ya moyoni kwamba Hermy B ambaye ni boss wa lebo hiyo...
View ArticleMKE WA OBAMA AFUNGUKA KUHUSU NGUO ALIYOWAHI KUJUTIA KUIVAA,KASEMA HATA VAA...
American First Lady, Michelle Obama has travelled down the memory lane to a case that happened back in 2009 when she was spotted wearing shorts on Air Force One as she came out with her family during...
View Article