Anaitwa Rita Marley, mwanamama huyu ndo mke halali wa mwanamuziki maarufu wa Reggae Bob Marley. Itakumbukwa kua Bob Marley alifariki mwaka 1981 kwa ugonjwa wa kansa. Wakati alipofariki aliacha kazaa na Rita watoto 6 ukiacha wengine ambao Bob alikua nao wa nje ya ndoa. Nikaona bora nikujuze mpenzi msomaji wa Bongoclan kuhusu hili
↧