![]() |
Lady Jaydee |
Mashindano ya kuleta wasanii kutoka nje mazuri. Lakini mashindano bora zaidi ni ya ku-promote wasanii nchini nao washabikiwe nje ya Tanzania
— January Makamba (@JMakamba) November 24, 2013
na Jide akajibu Ushauri huo ungewapa kwanza washkaji zako wa fursa tangu zamani leo tungekuwa mbali. Kuutoa baada ya show ya jana inadhihirisha upande wako
— Lady JayDee (@JideJaydee) November 24, 2013