UNAAMBIWA MWANAMKE HUYU NI MMOJA KATI YA MATAJIRI WA AFRIKA, SOMA HISTORIA...
Folorunsho Alakija wa huko Nigeria ni mwanamke mwenye utajiri mkubwa wa kiasi cha dola Billioni $7.3 kama ulizani Oprah ndie mwanamke mweusi tajiri pekeyake utakuwa umekosea dada huyu ni mmiliki na...
View ArticleTAZAMA PICHA ZA JUMBA LA KIFAHARI LA MWANADADA TAYLOR SWIFT
Accommodation: The mansion has seven master bed rooms along with a decorated living room, six bathrooms and a private beach. The mansion is built on a 1.11 acre plot and measures 4,440 sq feet. The...
View ArticleMO IS AMONG THE 10 SUCCESSFUL AFRICAN ENTREPRENEURS TO FOLLOW ON TWITTER -...
Dewji is the CEO of Tanzania’s METL, a leading conglomerate with interests in manufacturing and distribution. He takes to Twitter to tweet business success quotes, links to stories about African...
View ArticleNAOMBA NIKUJUZE KUHUSU HAYA MADHARA UTAYOYAPATA KWA KUTOFANYA TENDO LA NDOA...
Aise, kwa kawaida kama wewe si mgonjwa wa aina yoyote ile, kwa maana ya ugonjwa ku-offset system ya mwili, madhara ya kutofanya tendo la ndoa kwa muda mrefu ni makubwa kuliko unavyofikiria as long as...
View ArticleHUYU NDIYE DIRECTOR ALIEFUKUZWA KAZI NA WEMA SEPETU BAADA YA KUGEUZA GARI YA...
Taarifa za sababu kubwa zilizopelekea Wema Sepetu kumtimua aliyekuwa director wake maarufu kwa jina la Chid ni ufuska uliokubuhu wa director huyo ambaye alikuwa akitumia magari ya Wema Sepetu kama gest...
View ArticleWAJANJA WAVAMIA UKURASA WA FACEBOOK WA NISHA NA KUWEKA PICHA ZA...
Mwanadada Salma Jabu ‘Nisha’ anayefanya vizuri katika tasnia ya filamu Bongo amekubwa na balaa baada ya ukurasa wake wa Facebook kuingiliwa na watu ambao wanautumia vibaya kwa kuweka picha za ngono na...
View ArticleMAMA YAKE ZITTO KABWE AFUNGUKA MAKUBWA!!!! "NILIKUWA NAOMBA MUNGU...
Dar es Salaam. Siku moja baada ya Kamati Kuu ya Chadema kumvua uongozi aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu Taifa wa chama hicho, Zitto Kabwe, mama yake mzazi, Shida Salum ametoa ya moyoni akieleza kuwa...
View ArticleRAIS KIKWETE AKERWA NA WANAOTUMIA MITANDAO KUIPONDA NCHI YAO "TETEENI NCHI...
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Jakaya Mrisho Kikwete ameonyesha kukerwa na tabia ya baadhi ya watanzania wanaotmia muda wao mwingine SOMA ZAIDI
View ArticleSAKATA LA UBAKAJI LAIBUKA UPYAAAA!! PROFESA JUMA KAPUYA ABURUZWA KORTINI KWA...
HATIMAYE binti anayedaiwa kubakwa na Mbunge wa Urambo Magharibi, Profesa Juma Kapuya (CCM), amefungua jalada Polisi dhidi ya mbunge huyo.SOMA ZAIDI
View ArticleMR.BLUE ASAKWA NA POLISI KWA TAPELI!!!! KALA PESA ZA WATU NA KUSHIDWA KUTOKEA...
Hitmaker wa ‘Mapozi’ Mr. Blue aka Kabayser anatafutwa na polisi wa Kenya kwa Utapeli.Msanii huyo anatafutwa kwa shutuma za kushindwa kutokea kwenye show aliyokuwa amesaini mkataba huko Mombasa, Kenya....
View ArticleKUMBE KOMPUTER MPAKATO-LAPTOP- ILICHANGIA MAUAJI YA RISASI ILALA...
Yumkini wengi wanapotamka neno ‘penzi’ lenye herufi tano tu, hudhani ni dogo lisilo na uzito katika maisha ya binadamu.SOMA ZAIDI
View ArticleRAIS WA MALAWI "JOYCE BANDA" SASA ADAI KUWA MKOA WA RUVUMA NA WANANCHI WAKE...
RAIS wa Malawi, Joyce Banda ametajwa kuendeleza chokochoko baina ya nchi yake na Tanzania, huku sasa akidaiwa kutumia redio na runinga za nchini mwakeSOMA ZAIDI
View ArticleDUH! JAYDEE NOMA SANA UMEONA ALICHOMJIBU MAKAMBA KUPITIA MTANDAO WA TWITTER?...
Lady Jaydee Lady Jaydee kweli ni Anaconda na sio mtu wa kuchezea kwani ukiingia kichwa kichwa kwenye kumi na nane zake anakumeza na kukupaka live kama huna hoja ya msingi. Hayo yamempata Mbunge wa...
View ArticleBASI KAMA ULIKUA HUJUI HAWA NDO WAIGIZAJI WAREMBO ZAIDI KUTOKA BONGO MOVIES,...
Irene Uwoya Kiwanda cha filamu Tanzania kimezalisha waigizaji wengi wenye majina makubwa sasa. ifatayo ni orodha ya waigizaji 10 wakike wenye mvuto na kuvutia zaidi kati ya wengi waliopoFilamu...
View ArticleSAKATA LA MH KAPUYA KUTIMKIA NJE YA NCHI JITIRIRISHE MWENYEWE JUU YA HABARI...
SIKU chache baada ya Mbunge wa Urambo Magharibi, Profesa Juma Kapuya (CCM), kudaiwa kutoweka nchini kukwepa mkono wa sheria dhidi ya tuhuma za kutishia kumuua binti anayedaiwa kumbaka, vigogo wa...
View ArticleHIVI NDIVYO MFANYABIASHARA HUYU MAARUFU ALIVYOTAKA KUJIUA KWA KUJIPIGA...
MFANYABIASHARA maarufu mjini Tabora, Hakimu Hamdun, mkazi wa Kata ya Kanyenye anashikiliwa Polisi akituhumiwa kujaribu kujiua kwa kujipiga risasi kutokana na wivu wa mapenzi.Kamanda wa Polisi mkoani...
View Article