
Ukifungua page ya Irene Uwoya kwenye Instagram ambayo anatumia jina la @ireneuwoyaonepieceintown utakutana na hii picha inayohusu kifo cha muigizaji Paul Walker lakini post ya Irene imechukuliwa tofauti baada ya ku-post picha ya Van Diesel na kuandika maneno mazito.
Labda alikosea ku-post picha kwa bahati mbaya lakini unafahamu kinachotokea kwenye mitandao ya kijamii kwa watu maarufu hata wanapokosea herufi moja

