INASIKITISHA!! AMUUA MKEWE MJAMZITO KWA KUMPIGA MAWE, MATOFALI
Na Waandishi WetuJESHI la Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, linamshikilia Philemon Ng’ambi, mkazi wa Madale Kata ya Wazo, jijini Dar es Salaam kwa tuhuma za kumuua mkewe, Enea Kagine kwa kumshambulia...
View ArticleKWA WALE MASHABIKI WA STAMINA HII INAWAHUSU......SIKILIZA WIMBO WAKE MPYA...
Ni wimbo mpya wa Rapper Stamina unaofahamika kwa jina la 'Mngekuwepo' akiwa amemshirikisha Criss Wamarya.SOMA ZAIDI
View ArticleMZEE WA MIAKA 55 ABAKA MTOTO WA MIAKA 12 NA KUJITOSA BAHARINI KUKWEPA MKONO...
Na Mohamded Mhina wa Jeshi la Polisi, Zanzibar SOMA ZAIDI
View ArticleHUYU NDO MSANII WA BONGO FLAVA ALIYETANGAZA KUHAMIA BONGO MOVIE, SOMA...
“inshallah soon nitaanza kushot movie yangu ya kwanza ya actions inaitwa ( mr police man),ni bonge la movie mapigo ya kufa mtu na bonge la story watu wangu i qwrty hd video na sound za kisasa nipeni...
View ArticleWANANCHI WA JIMBO LA ARUSHA MJINI[CHADEMA] WAMPINGA HADHARANI KWA MABANGO...
Soma Bango hilo, wafuasi wa CHADEMA jijini Arusha ,walioambatana na Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Monduli Bw. Amani Salenga wakionyesha bango hilo kwa waandishi wa Habari (hawapo pichani) ,wakidai...
View ArticleJACKLINE WOLPER 'FILAMU NILIYOTOA KUMUENZI STEVE KANUMBA ILINIPA HASARA YA...
NYOTA wa filamu Bongo, Jacqueline Wolper amefunguka kuwa filamu yake aliyoitoa kumuenzi marehemu Steven Kanumba iitwayo After Death ilimlostisha kwa kuwa ilimpatia hasara kubwa. Jacqueline...
View ArticleHAYA SASA HEBU NIAMBIE NGUO HII IMEMPENDEZA NANI KATI YA WIZ KHALIFA, NEYO NA...
Singer Neyo (left), rapper Wiz Khalifa, (centre) and singer Miguel (right) in pleather black and white striped blazer. Who rocked the look?
View ArticleMADA MAUGO NUSURA AMUUE D,JARO ARUNGU KISA DEMU, SOMA HAPA ALICHOKIANDIKA D JARO
''Mada Maugo''''Dj Aro Arungu'' HUU hapo chini ndio ujumbe aliouandika mtangazaji wa Tbc Fm D'Jaro Arungu asubuhi ya leo na kuwatumia jamaa na marafiki kuhusiana na tukio lililomtokea. Kwa taarifa...
View ArticleJANJA YA WABUNGE KUJILIPA ZAIDI YAGUNDULIKA...
Kikao cha Bunge la Jamhuri ya Muungano, mjini Dodoma.Nchi masikini za Afrika ikiwamo Tanzania zinatumia fedha nyingi kulipa wabunge wakati utendaji kazi wa viongozi hao wa kisiasa ni mdogo na hauendani...
View ArticleHUYU NDO DEREVA ALIYEKUA AKIENDESHA GARI ILIYOSABABISHA KIFO CHA STAR WA FAST...
Baada ya uchunguzi wa awali kugundua kuwa Paul Walker alikuwa abiria, Polici wamechunguza na kutoa taarifa kuwa dereva Aliyekuwa Kwenye Gari Na Paul Walker anaitwa Roger Rodas mwenye miaka 38. Roger...
View ArticleHII NDIO TAARIFA KAMILI KUHUSU MTANGAZAJI WA DJARO ARUNGUWA TBC FM...
Imeandikwa na Dj Aro Arungu.AMA kweli nimeamini Maisha ni Watu na siku zote Tenda Wema Nenda zako.Huyo jamaa aitwae Bondia Mada Maugo maskani yake Gongo la Mboto.Jana alikuwa na Uzinduzi wa Wimbo wake...
View ArticleSOMA WALICHOKISEMA B HITS KUHUSU KUWAPA AU KUTOWAPA NYIMBO ZAO KINA VANESSA...
Siku kadhaa tu baada ya B hits kusema haitotoa msamaha kwa wasanii wake ambao ni Vanessa Mdee, Gosby na Mabeste kutokana kufanya mambo nje ya mkataba pamoja na utovu wa nidhamu, kampuni hii...
View ArticleWATU WAMSHAMBULIA HUDDAH KATIKA MTANDAO WA TWITTER, NI BAADA YA KUWEKA PICHA...
[PHOTO||Huddah Facebook]Yesterday, the world was shocked by the news of the death of Fast & Furious star Paul Walker. Walker, 40, died in a crash on Sunday.As news of his death spread on the...
View ArticleIRENE UWOYA ASHAMBULIWA NA FANS INSTAGRAM KISA NI KUWEKA PICHA HIIIIIII
Ukifungua page ya Irene Uwoya kwenye Instagram ambayo anatumia jina la @ireneuwoyaonepieceintown utakutana na hii picha inayohusu kifo cha muigizaji Paul Walker lakini post ya Irene imechukuliwa...
View ArticleHILI NDO JUMBA LA KIFAHARI LA MWANADADA CHRISTINA AGUILERA, CHEKI LILIVYO LA...
Christina Aguilera and her husband put their Beverly Hills house up for sale a while ago. The 13.5 million dollar house features many amenities that are sure to blow your mind. There is a gym, movie...
View Article