MAWELA YA SINZA NA HAVANNAH YA SEGEREA NDIO BAA ZA WIKI SHINDANO LA TUSKER...
Mteja wa bia ya Tusker na mkazi wa Sinza Bw. James Lui (katikati) akipokea zawadi yake ya Mfuko wenye fulana pamoja na bia za bure toka kwa Balozi wa kinywaji hicho Veronica Mbilinyi (Kulia) katika...
View ArticleBAA YA BARACUDA, TABATA NA CHECK POINT YA CHANIKA WASHINDI WA WIKI FANYAKWELI...
Mpenzi wa kinywaji cha Tusker na mkazi wa Baracuda Tabata Rehema Jumbe (katikati) akipokea zawadi yake ya Mfuko wenye fulana sambamba na bia za bure toka kwa Balozi wa kinywaji hicho Veronica Mbilinyi...
View ArticleSHEREHE ZA MKONDO WA BAA ZANOGESHA PROMOSHENI YA TUSKER FANYA KWELI KIWANJANI
Mkazi wa Mikocheni na mpenzi wa kinywaji cha Tusker Bw. Gaspar Makongoro (38) (katikati) akizungumza na mshereheshaji wa promosheni ya Fanyakweli Kiwanjani Gadner Habash (kushoto) wakati wa promosheni...
View ArticleTusker Fanyakweli Kiwanjani Yawakuna Wakazi wa Mbezi Beach na Kimara Wiki Hii
Mkazi wa Mbezi Beach jijini Dar es salaam, Mlai Abraham akipokea zawadi ya fulana toka kwa Msimamizi wa Mauzo ya Kampuni ya bia ya Serengeti kanda ya Mbezi beach Obedi Salema katika hafla ya...
View ArticleTUSKER FANYA KWELI YAWAFIKIA WAKAZI WA TEGETA NA TEMEKE WIKI HII, IPO HAPA
Mkazi wa Tegeta Kibaoni aliyetambulika kwa jina la Libelius Ochungo (Katikati) akipokea zawadi ya mfuko na fulana toka kwa balozi wa bia ya Tusker Veronica Mbilinyi (Kulia) wakati wa promosheni ya...
View ArticleFRIENDS PUB YA SEGEREA NA CHECKPOINT CHANIKA BAA ZA WIKI TUSKER FANYAKWELI...
Mkazi wa Kigogo Fresh-Chanika Bi. Mazoea Kombo (katikati) akipokea zawadi yake ya fulana toka kwa Msimamizi wa mauzo ya Kampuni ya bia Serengeti kanda ya Chanika Bw. Tesha Stanslaus (Kulia) katika...
View ArticleBI. SAMIA SULUHU AHAIDI NEEMA KWA WAKAZI WA MUSOMA MKUTANO WA KAMPENI
Mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Uwanja wa Mwasenge, Jimbo la Musoma Mjini. Katika hotuba yake aliwaomba...
View ArticleMWANAMUZIKI NNEKA WA NIGERIA APIGANIA USAWA WA KIJINSIA KUPITIA MUZIKI
Katika mfululizo wa Makala za Benki ya Dunia kuhusu muziki kwa ajili ya maendeleo, tunakutana na nyota wa Nigeria, Nneka, ambaye ana uraia wa Nigeria na Ujerumani. Nneka, kama wanamuziki wenzake...
View ArticleMASTAA 10 WAJIPANGA KUFANYA MAAJABU MAREKANI OCTOBER 20, 2015
Beyonce, Jay Z, Prince Usher, Lil Wayne, Nicki Minaj, T.I, Damian Marley, Indochine, Thomas Rhett & Fabolous, wanategemea kuangusha bonge moja la Show October 20, 2015 Barclays Center Brooklyn...
View ArticleTIGO YATOA MCHANGO WA MADAWATI 700 KWA SHULE ZA UMMA MKOANI MBEYA
Meneja Mkuu wa Kampuni ya Tigo nchini, Diego Gutierrez, (kushoto) akimkabidhi madawati yaliyotolewa na kampuni hiyo kwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro, Tigo imetoa msaada wa madawati 700 yenye...
View ArticleSERIKALI YAKANUSHA TWIGA KUTOROSHWA KWA KUTUMIA NDEGE MBUGANI
SERIKALI imekanusha uvumi uliozagaa katika mitandao ya jamii wiki hii kuwa wanyama aina ya twiga wanatoroshwa kutoka pori tengefu la Loliondo na kupelekwa nje ya nchi. Katibu Mkuu wa Wizara Maliasili...
View ArticleHAKUNA RAY WA ‘KUTISHA’ BILA MAREHEMU KANUMBA...WEMA, AUNT EZEKIEL, SWEBE NA...
By Kalunde Jamal, Mwananchi Hatimaye muigizaji Vicent Kigosi wiki hii amekiri kuwa msisimko na ushindani wa kutoa, kuigiza filamu kali uliokuwepo wakati marehemu Steven Kanumba akiwa hai, haupo tena....
View ArticleSHINDANO LA SERENGETI MASTA LAFANA KATAKA BAA YA MERIDIAN KINONDONI
Mmoja wa wateja wa bia ya Serengeti aliyefahamika kwa jina la Mwasiti Masauni (wa kwanza kulia) akichagua karatasi ya maswali ili kujiwezesha kushinda kiasi cha Tsh. 50,000/= (Elfu Hamsini), wakati wa...
View ArticleMchungaji Gwajima Apewa Siku 14 za Kumfufua Kaka Yake Au Kupandishwa Kizimbani
Shamma Gwajima (kulia) akifafanua jambo mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani) kushoto ni Raphah Gwajima.*********ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, ametumiwa waraka...
View ArticleSiku moja kabla ya mechi TFF yatangaza maamuzi haya kwa kocha wa Taifa Stars...
Siku moja kabla ya kuchezwa kwa mechi ya kimataifa kati ya Taifa Stars dhidi ya Malawi, shirikisho la mpira wa miguu Tanzania TFF lilitoa nafasi kwa makocha wa timu zote mbili kuzungumzia mchezo pamoja...
View ArticleYOUNG KILLER, APINGA KUFANANISHWA NA EDO BOY
Rapper kutoka kiwanda cha Hip Hop Bongo anayeiwakilisha poa Mwanza Young Killer, ameongelea tatizo lililopo kati yake na rapper mwenzie wa Mwanza Edo Boy. Akizungumza kupitia kipindi cha ‘The jump off’...
View ArticleMAGUFULI ABOMOA NGOME ZA CHADEMA HANANG, MBULU NA KARATU. AMMWAGIA SIFA...
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwaambia wananchi wa Karatu katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa Bwawani,kuwa mmoja wa viongozi wa upinzani...
View ArticleBaa zaidi ya Nne Zashiriki Promosheni ya Tusker Fanya Kweli Kiwanjani Week Hii
Mpenzi wa bia ya Tusker Cloud Opson (29) (katikati) akionyesha zawadi yake ya fulana kwenye hafla ya kuzipongeza baa nne (4) zilizo kwenye mkondo mmoja ambazo kwa ujumla zilitangazwa kama baa za wiki...
View Article