RAIS KIKWETE AONGOZA MAMIA KUAGA MWILI WA MTIKILA
Rais Kikwete aongoza mamia kuaga mwili wa marehemu Mchungaji ChristopherMtikila Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam leo Jumatatu Oktoba 7, 2015
View ArticleLOWASSA AWATAKA WATANZANIA KUCHANGAMKIA FURSA ZA AJIRA ZITOLEWAZO NA AFRIKA...
WATANZANIA wametakiwa kujifunza kuchangamkia fursa za ajira zinazotolewa na Afrika Mashariki kama ilivyo kwa nchi nyingine. Kauli hiyo ilitolewa jana na mgombea wa Urais kupitia Chadema, Edward Lowassa...
View ArticleMAGUFULI AZIDI KUIBOMOA CHADEMA KILIMANJARO,AWATOLEA UVIVU WATENDAJI WA...
Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akimnadi mgombea Ubunge wa jimbo la Moshi mjini Ndugu Davis Mosha kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa Mashujaa,mkoani...
View ArticleSHINDANO LA SERENGETI MASTA LAHITIMISHWA KANDA YA ZIWA
Mshindi wa mwisho wa shindano la Serengeti Masta kwa wakazi wa kanda ya ziwa Said Kanolo, akionyesha pesa zake alizokabidhiwa, kwenye shindano la mwisho la kumtafuta Serengeti Masta wa mwisho wa kanda...
View ArticleLowassa Ameshindikana...Siku Moja Baada ya Kusababisha Gharika Arusha...
SIKU moja kupita baada ya mgombea wa Urais kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema ambaye anaungwa mkono na Vyama vinavyounda UKAWA Edward lowassa baada ya kuitikisa Arusha Mjini,sasa...
View ArticleSHINDANO LA SERENGETI MASTA LAWASHA MOTO ULAYA ULAYA BAR YA MANZESE, DAR
Mkazi wa Magomeni jijini Dar es salaam Sam Stima akifurahia zawadi yake ya fulana kutoka kwa balozi wa bia ya Serengeti Premium Lager Razani Kapalatu wakati wa promosheni ya Serengeti Masta...
View ArticleSHINDANO LA SERENGETI MASTA LAHITIMISHWA JIJINI MBEYA NA ARUSHA
Mkazi wa Arusha na mpenzi wa bia ya Serengeti Premium Lager Laota Elias akishiriki katika shindano la mwisho la kumtafuta Serengeti Masta wa jumla kwa mkoa wa Arusha katika kuitambua ladha halisi ya...
View ArticleKAMPUNI YA BIA YA SERENGETI (SBL) YAHITIMISHA KAMPENI YA 'SERENGETI MASTA'...
Mshereheshaji wa shindano la Serengeti Premium Lager liliopewa jina la “Serengeti Masta” Richard Godwin akitoa maelekezo kwa washiriki wa shindano hilo la mwisho kwa wilaya ya Ilala lililofanyika...
View ArticleArticle 0
Huyu mama yupo ocean road ni mgonjwa wa cancer ya uso imeshamla mpk macho na upande moja ushalika. Anatokea mtwara hana kitu ni kweli maombi yanasaidia ila anahitaji ale chakula kizuru na kiasi...
View ArticleKAMPUNI YA BIA YA SERENGETI KUDHAMINI MICHUANO YA GOFU YA WAITARA
Katibu wa klabu ya Gofu ya Lugalo Kanali Mstaafu John Nyalusi akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari (hawapo pichani) jijini Dar es Salaam juu ya mashindano ya siku moja ya gofu ya kumuenzi...
View ArticleWACHEZAJI MBALIMBALI WAJINYAKULIA ZAWADI MICHUANO YA GOFU YA WAITARA
Mkuu wa Majeshi (Mstaafu) Jenerali George Waitara (Kushoto) akipokea zawadi ya wiski ya Johnnie Walker (Platinum Label) iliyotolewa na Kampuni ya bia ya Serengeti katika kuthamini mchango wake...
View ArticleJOHNNIE WALKER YAZINDUA KAMPENI MPYA YA “FURAHA ITAKUFIKISHA MBALI”
Meneja Chapa (pombe kali) wa Kampuni ya bia ya Serengeti (SBL) Shomari Shija (wa kwanza kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (Hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa kampeni mpya ya Johnnie...
View ArticleTrust pamoja na Vanessa Mdee wazindua rasmi Tamasha la “Divas Only” mjini...
Vanesa Mdee akitumbuiza katika tamasha la kutoa elimu ya uzazi wa mpango lililofanyika mwishoni mwa wiki jijini Dodoma. Tamasha lililopewa jina la “Divas Only Concert” lilifanyika katika ukumbi wa...
View ArticleVANESSA MDEE ANOGESHA TAMASHA LA TRUST “DIVAS ONLY” JIJINI MBEYA
Msanii wa kizazi kipya Vanessa Mdee akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya ujio wake jijini Mbeya na mtazamo wake kwa akina dada juu ya uzazi wa mpango mara baada ya kumaliza...
View ArticleMBUNGE WA UVCCM KIGOMA AONGOZA VIJANA WENZAKE KUTEKELEZA AGIZO LA RAIS MAGUFULI
Mbunge wa viti Maalum Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia UVCCM Mkoa wa Kigoma, Zainab Katimba (aliyevaa Gum Boots), akiwaongoza Vijana wenzake katika zoezi la kufanya usafi, ambapo...
View ArticleMadiva wa Mwanza Wajitokeza Kwa Wingi Kufunga Tamasha la Trust Divas Only
Baadhi ya madiva wa jiji la Mwanza wakiwa kwenye pozi la Red Carpet wakati wa Tamasha la “Trust Divas Only” ambalo lilifanyika katika hoteli ya Malaika Beach Resort jijini Mwanza mwishoni mwa wiki....
View ArticleMSANII TEKNO MILES KUNOGESHA TAMASHA LA JOHNNIE WALKER “GROWN & SEXY THE GOLD...
Mkurugenzi wa Straight up Vibes Omary Abood (wa kwanza kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa hafla iliyofanyika katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam ya...
View ArticleVideo : Hii siku Wema Sepetu alipendeza kuliko siku zote, jionee hapa.
Siku za hivi karibuni Wema amekua akiandamwa na kashfa ya kuongeza makalio, jambo ambalo limemchafulia sana sifa yake kwa jamii. Lakini baada yakumuona Wema Sepetu nguo aliyokua kavaa siku anazindua...
View ArticleVideo : Kwa uzuri huu wa dem mpya wa Diamond Platnumz, zari atasubiri sana
Japo kua Diamond amezaa na Zari na kupata mtoto Tiffah, ila kwa sasa kuna tetesi kua Diamond Platnumz anatoka na demu mpya Aitwa Irene. Kwa taarifa zakuaminika kutoka kwa watu wa karibu wa Diamond...
View ArticleVideo : Idris Sultan aanza kutoza pesa kwa wanaotaka KIKI kutoka kwake
Kiki ndio kila kitu hapa mjini, wasanii na watu wengi hapa Bongo wamekua maarufu kutokana na Kiki au Skendo zinazosambazwa kuwahusu wao. Wapo waliofanikiwa hadi maisha yao kua mazuri kutokana na kiki...
View Article