UNAMKUMBUKA MARINGO 7 WA MIZENGWE? SASA KATOA FILAMU YAKE MPYA INAITWA PAPAA....
Maringo 7 mchekeshaji Swahiliwood. MCHEKESHAJI mahairi katika tasnia ya filamu na Vichekesho Rashid Costa ‘Maringo 7′ ambaye utamba katika kipindi cha Mizengwe, amewajumuisha wakali wa muziki wa kizazi...
View ArticleHIKI NDO WALICHOCHAT 50 CENT NA MWANAE WA MIAKA 15, HADI KUPELEKEA 50 CENT...
BAADA YA KUTUMIANA MSG ZENYE FUCK FUCK NYINGI SANA KATI YA 50 CENT NA MWANAE. HATIMAYE 50 CENT KAAMUA KUWATOA KWENYE URITHI WAKE MARA TU ATAPOKUFA. HIKI NDO ALICHOKIANDIKA 50 CENTNA HIKI NDO...
View ArticleSIKLILIZA NA DOWNLOAD WIMBO MPYA WA STEVE RNB FT MR BLUE
Get Band email for free at ReverbNation.com
View ArticleNDOA NDOANO : BIBI HARUSI AFARIKI DUNIA MUDA MCHACHE KABLA YA KUFUNGA NDOA...
Marehemu Levina Mmasi akilishwa chakula na aliyetarajia kumuoa, Kasisi Masawe kwenye hafla ya kuagwa kwake (Send-Off Party) iliyofanyika Jumatano iliyopita. Handeni. Katika hali isiyokuwa ya kawaida,...
View ArticleSELECTION ZA SHULE ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA 5 ZATOKA. ZICHEKI HAPA
1. KWA KUANGALIA MATOKEO YA WAVULANA CLICK LINK HII https://docs.google.com/file/d/0B6EsT3rjf-pzamlnNDhZcXJVeUU/edit?usp=sharing 2. KWA KUANGALIA MATOKEO YA WASICHANA CLICK LINK HII...
View ArticleMCHEKI MRITHI WA SHARO MILIONEA, AKIFANYA MAHOJIANO NA BLOG YA HARAKATI ZA BONGO
Baada ya kuona Video ya Jay Maswagger akiwa ameimba na Kufanya yote aliyokuwa akifanya Marehemu Sharo katika video zake, Ikanibidi nimtafute jamaa huyo kasha tupige story kuhu kitu...
View ArticleMAMA MZAZI WA MSANII Z ANTO AFARIKI DUNIA
Kwa taarifa zilizotufikia hivi punde ni kuwa msanii Z Anto amefiwa na mama yake mzazi masaa machache yaliyopita, akiwa katika hospitali ya muhimbili ambapo alikuwa amempeleka masaa mawili yaliyopita.Z...
View ArticleUMESHAONA WABONGO WALICHOMJIBU PREZOO KUHUSU ISHU YA KUMTUKANA DIAMOND? SOMA...
Mkali wa flow mwenye cash ndefu CMB Prezzo atakuwa amepata sample ya majibu ya baadhi ya fans wake ambao wengi ni wakenya baada ya kumdiss Diamond Platinumz wa Tanzania kupitia akaunti yake ya twitter...
View ArticleDUH, HIVI NDIVYO LADY GAGA ALIVYOAMUA KUTOKELEZEA KWENYE MITAA YA NEW YORK...
The singer was photographed out and about in New York wearing only a tiny black lacy bra paired with a short black skirt and black boots.
View ArticleKAMA ULIKUA HUJUI BASI HIKI NDO KIASI ANACHOINGIZA RAISI OBAMA KWA MWAKA,...
BAADA ya kuchaguliwa katika awamu ya pili ya utawala wa Marekani, Rais Barack Obama, ameendelea kupata mshahara wa dola 400,000 kwa mwaka. Wakati alipopata utawala, Rais huyo mwenye nguvu duniani...
View ArticleJESHI LA POLISI BONGO LAAMUA KUWAFATA SAUZI MASOGANGE NA MWENZAKE. HIKI NDO...
Jeshi la Polisi litapeleka askari wake Afrika Kusini kuwahoji washiriki wa video za wasanii wa muziki wa Bongo fleva, Agnes Gerald ‘Masogange’ na mwenzake Melisa Edward waliokamatwa nchini humo na...
View ArticleHUYU NDO MZEE KUTOKA MBEYA ANAYESEMA ANATAKA KWENDA MUSOMA KUMFUFUA MWALIMU...
MAAJABU YA MBEYA HEBU SOMA HII KWA MAKINI KABISA. Huyu mzee alifika katika studio za Kyela FM, anasema yeye anahitaji Msaada anataka kwenda kumfufua Mwl. JuliusKambarage Nyerere baba wa Taifa...
View ArticlePAPA FRANCIS AAMURU KUVUNJWA KWA SANAMU YAKE KANISANI...!!
Katika umri wa miaka 76 amekuwa jina linatamba na nyota wa kurasa za mbele za majarida. Lakini Papa Francis kwa sasa anapambana kwa nguvu zote kuepuka kuwa mtu maarufu - ameamuru kuondolewa kwa sanamu...
View ArticleHUYU NDO MTOTO WA MFALME ALIYEKAMATWA MAREKANI KWA KOSA LA KUMGEUZA MWANAMKE...
Mama mmoja ambaye ametajwa kuwa mwana mfalme kutoka Saudi Arabia amekamatwa katika jimbo la California nchini Marekani na kutuhumiwa kuhusika na ulanaguzi wa watu. Meshael Alayban, 42, anakabiliwa na...
View ArticleMIMBA YA MCHUMBA WA NEY WA MITEGO YACHOROPOKA, HIKI NDO KILICHOTOKEA
Rapper Nay wa Mitego leo anasherehekea siku ya kuzaliwa ya mchumba wake aliyekuwa mjamzito kwa huzuni kubwa baada ya mchumba wake huyo kukipoteza kichanga chao kufuatia kuanguka jana usiku.“Jana usiku...
View Article