HUU NDO UFUSKA WA MASTAA BONGO YANI HUWEZI AMINI KAMA WAO NDO WANAFANYA....
NI laana! Baadhi ya mastaa wamenaswa laivu wakifanya vitendo vilivyotafsiriwa kuwa vya kifuska, Ijumaa Wikienda lina mkanda kamili.Baadhi ya mastaa wakionyeshana ufundi wa kucheza.Tukio hilo lilijiri...
View ArticleTAZAMA VIDEO IKIMUONESHA SAMWEL ET'OO AKICHEZA NA KUGAWA PESA KAMA PEDESHEE...
Video hii inamuonesha Mcheza mpira wa klabu ya Chelsea ya Uingereza akisakata muziki wa sebene na kuanza kumwaga mapesa kama pedeshee wa kibongo wanavyofanya. Tazama video hiyo hapo chini uone jinsi...
View ArticleUKITAKA KUJUA NI NAMNA GANI JACQUELINE WOLPER ANAVYOWADATISHA WANAUME WA...
Huyu ni Mrembo anayetikisa katika Tasnia ya Filamu Tanzania, Picha hihi zikionyesha nijinsi gani Mipedgee ya mjini ikipigana vikumbo kila siku kwaajili ya KUMPATA mrembo huyu. pamoja na hayo msanii...
View ArticleMILIONI 70 ZADAIWA KUMUHAMISHA MTANGAZAJI GODWIN GONDWE TOKA RADIO ONE KWENDA...
Baada ya kuzuka kwa taarifa kuwa Mtangazaji Maarufu wa Redio One kuhamia Clouds Medei kutoka Radio One na ITV Godwin Gondwe maarufu kma Double G taarifa mpya zimesema mtangazaji huyo isiingekuwa rahisi...
View ArticleANGALIA VIDEO MPYA YA SHILOLE -CHUNA BUZI-(EXPLICIT-WAKUBWA TU)
Video hii imetoka ila hii ni kwa ajili ya Mitandao tu kwani humo ndani ni maono matupu ..yakuonekana kwenye Tv itafuata soon.....Angalia hapa ujionee mwenyewe Buzi linavyochunwa
View ArticlePRODUCER MSWAKI AWAJIA JUU BONGO5 BAADA YA KUITAFSIRI PROJECT YAKE KUWA NI...
Kama unakumbuka wiki iliyopita siku ya ijumaa, Mswaki aliongea juu ya project aliyokuwa akitarajia juifanya aliyoipa jina la "Keeping Ngwair Alive" ambapo alikuwa akitarajia kutoa ngoma kadhaa kwa...
View ArticleTAZAMA PICHA 8 ZA MWANA FA NA MTOTO WAKE UONE WALIVYOFANANA ILE MBAYA
Huyu ni mtoto wa Mwana Fa, wamefanana sana na baba yake.
View ArticleLULU AAMUA KUACHIA 90% YA MWILI WAKE UONEKANE KATIKA UKURASA WA MBELE WA...
Baada ya Jokate Mwengelo , Diamond Platnumz, Wema Sepetu na Mr.Blue kutokea kwenye ukurasa wa mbele wa vibe tz magazine sasa ni wakati wa elizabeth michael “lulu”. Lulu ameamua kufunguka kuhusu mambo...
View ArticleDUNIA YA LEO HAKUNA DEMU MBOVU…..PESA NDIO KILA KITU. JIONEE HUYU MDADA...
Tazama picha za mwana Dada Risper Faith mwenye mvuto wa kubabaisha midume mingi…zamani na za saa hivi…then utapata jibu….Hapa ndivyo anavyoonekana kwasasaHapa ndio utakaposhangaa…..hapa ndivyo...
View ArticleWEMA SEPETU JIPANGE: DIAMOND PLATNUMZ KUPITIA UKURASA WAKE WA INSTAGRAM...
Tunamtoa mtoto wetu mwingine toka kwa bwana #Moze_Iyobo na bi #Mwengi.... Eeh! Mwenyezi Mungu, wajaalie na hawa vijana wawili walio baki @emma_platnum na @tonser66wamalize haraka nao, ili Mtu mzima...
View ArticleUTABIRI WA TB JOSHUA WATIMIA-NI KWELI AIR MALAYSIA ILIANGUKA INDIAN OCEAN NA...
Baada ya ndege ya Air Malaysia kupotea Mtabiri TB Joshua Alisema Kuwa Ndege hiyo itakuwa imeanguka Kwenye Bahari ya Hindi na Hakuna Aliyepona ,,,Utabiri huo kwa wengi ulichukuliwa kama mzaha lakini leo...
View ArticleMASIKINI DIVA...!! MIMBA YA WATOTO MAPACHA ALIYOPEWA NA GK YAMPA WAKATI MGUMU...
Kupitia akaunt yake ya Instagram Diva Loveness Love mtangazaji wa kipindi cha Ala za Roho kinachorushwa na Clouds FM ametupia picha ikionyesha vichanga mapacha waliyokuwa tumboni mwake wamefariki na...
View ArticleBAADA YA KUTEMANA NA MCHUMBA WAKE, SASA WOLPER AINGIA KATIKA UGOMVI WA...
KUCHAMBANA, kutoleana lugha chafu ndiyo ishu iliyopo kwa sasa kati ya nyota wa filamu za Bongo, Jacqueline Wolper na mshiriki wa Miss Tanzania mwaka 2011 iliyomtoa mlimbwende Salha Israel, Husna Maulid...
View ArticleJAMAA WATUMIA FURSA...BAADA YA WAZUNGU KUJIACHIA.....SEE THE CRAZY PHOTOS
In the name of partying.....camera zimewanasa wazungu hawa wakijirusha kwa raha zao...Hehehehee credit : DOMOZEGE BLOG
View ArticleHUYU NDIYE MSANII WA BONGO FLEVA ALIYEFUNGA NDOA ILIYOHUDHURIWA NA WATU 6...
Unaweza ukawa hujui kuwa rapper D-Knob ni mume wa mtu na baba wa mtoto wa mmoja wa kike. Hilo ni la kawaida, lakini litakalokuacha mdomo wazi ni namna alivyofunga ndoa. Hivi ndivyo alivyosimulia...
View ArticleRECHO KIZUNGUZUNGU AAMUA KUANIKA TATOO YAKE MTANDAONI, ICHEKI HAPA
Msanii wa Miondoko ya Bongo fleva ajulikanaye kwajina la Recho naye leo hii kupitia ukurasa wake wa Instagram ameweka wazi Tatoo zake alizozichora mwilini mwake.Waweza Jionea mwenyewe hapa...
View ArticleLIL WAYNE AMPIGA KIBUTI MCHUMBA AKE, AJIWEKA KWA MBEBEZZ MWINGINE MKARE. KISA...
Lil Wayne akiwa na kitu chake kipya, Video Vixen Candance Cabrera. New Orleans, Marekani. Rapa Lil wayne amemfungashia virago aliyekuwa laaziz wake wa zamani, Dhea na kuamua kuhamishia pendo lake kwa...
View ArticleNOMA SANA...!! GARI YA DIAMOND YAPIGWA MNADA BAADA YA KUKOSA PESA ZA...
Diamond akiwa ndani ya Toyota Land Cruiser V8 linalopigwa bei kwa sasa.LILE gari aina ya Toyota Land Cruiser V8 alilokuwa akitanua nalo staa wa muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ liko...
View Article