$ 0 0 Chanzo cha gari hilo kuungua moto bado hakijajulikana, harakati za kuuzima moto huo bado zinaendelea. Tazama vdeo hii iliyochukuliwa mda mfupi uliopita