UJUMBE UNASOMEKA HIVI...
Bongo mmeaka? wenzenu ndio kwanza kwa habari moto moto napenda
kuwafichulia penzi la siri la muda mrefu na binti wa clouds fm diva,
mtajaza wenyewe huyo wa pembeni wa kuitwa AY ni shemej wake diva , huyo
wapembeni wa kuitwa MwanaFA ni shemeji yake diva ...huyo wa katika
mfalme ndio kampa umalkia dada yetu diva, kutoka kwa mnyetishaji wetu
aishie maeneo ya upanga mashariki anasema toka mwaka jana katikati
wawili hao wamekuwa kama vifaranga, diva amekuwa akionekana mara kwa
mara nyumbani kwa kina rapper huyo na wako karibu muda wote maswali
mengi yapo nayo majibu dada wetu wa clouds fm anaye unguruma kila siku
radioni kwa habari Bongo five na ma blog mengine kama Angaza Tz watajua
kwa kupata ukweli, shuzi hilo nim,e lishusha la kuaminika...
Diva na akajibu hayo hapo chni
source Angaza TzBLOG