Quantcast
Channel: BongoClan Tanzania™
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3623

DAH, DUNIA YAFIKA MWISHO. STAR HUYU ANATAKA KUBADILI JINSIA NA KUA MWANAMKE. MSOME HAPA

$
0
0
 
Yesu baba rudi
dunia inazizima

Jamani huyu baba yamemkuta yapi tena, siku hizi ukizaa mtoto wa kiume kila siku muweke katika sala kumuombea maana hili limekuwa janga la dunia, wanaume wanatamani kuwa wanawake, wanawake wanatamani kuwa wanaume sasa mtu mzima kama huyu kutaka kuwa mwanamke na uzee wote huu na watoto juu kinachomuwasha ni nini sasa daah im shocked

kweli ni nyakat za mwisho hebu tuache movie iendelee tuone itakuwaje na yeye atapata mume? maana mpaka sasa inasemekana ana magauni mengi hata ya step daughter wake Kim anasubiri,,,,  ndipo anapoelekea huko mtu mzima ovyo 

na hii ndio sababu kubwa ya wao kuachana (Kris n Bruce)

Viewing all articles
Browse latest Browse all 3623

Trending Articles