$ 0 0 Mtanzania anayekipiga timu ya Chelsea Adam Nditi amewarekodi wachezaji wenzie wa Chelsea wakiwa wanacheza wimbo wa mwanamuziki wa kitanzania Ommy Dimpoz uitwao 'TUPOGO'