Quantcast
Channel: BongoClan Tanzania™
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3623

HIVI NDIVYO MWASITI ALIVYOFUNGUKA KUHUSU WANAUME, MJIPANGE!!

$
0
0
Mwasiti
 
mwasity3
STAA anayefanya vizuri kwenye Bongo Fleva akitokea Jumba la Vipaji Tanzania ‘THT’, Mwasiti Almas, amesema kwa sasa hataki kusikia habari za mwanaume kabisa.
Akizoza na mwandishi wetu, Mwasiti alisema: “Sitaki mwanaume, nahitaji kujipanga kimaisha kwanza. Kama kuna mtu anafikiria kuwa na mimi, aandike maumivu. Hakuna hiyo nafasi.
“Sina mwanaume na sitaki. Bado niponipo sana, nitabadili uamuzi huu mambo yangu yakikaa poa kimafanikio. Mapenzi si yakukurupukia

Viewing all articles
Browse latest Browse all 3623

Trending Articles