HiIi ni SELFIES za Salama Jabiri, Host wa kipindi cha televisheni kiitwacho MKASI kinachorushwa na EATV...SELFIES ni picha ambazo watu hujipiga wenyewe na kuziweka kwenye mitandao ya kijamii..mara nyingi hutumia camera za SIMU zao ...Kuanzia leo nitakuwa ninikuletea SELFIES za mastaa mabimbali wa hapa Bongo.......Leo naanza kwa kukulete SELFIES za Salama J....Hehehe She is funny Crazy....
↧