Siku moja baada ya Forbes kutoa jarida la Afrika yaani FORBES AFRICA... lenye picha ya Mzee Regnald Mengi kwenye ukurasa wa mbele....Mwanamama Jacqueline Ntuyabaliwe aka K-Lyinn amejitokeza na kumpongeza mzazi mwenzie (Mzee Reginald Mengi) kwa hapo alipofikia na anatamani watoko wake wengekuwa wakunbwa wajionee hii....
Kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM K-Lyinn aliweka pichi hiyo juu na kuandika hivi"“Congratulations my love, you always make me so proud. I wish Jay and Ry were old enough to understand this now.”
Mzee Mengi tajiri #34 Afrika mwenye utajiri wa dola za kimarekani 550 kwa mujibuwa Forbes 2013.