Wajumbe wapya wa Bodi ya Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), wametaka kupewa miezi sita ili wasanii waanze kufaidi matunda yao
Alex Msama
Akizungumza na gazeti la Mwananchi juzi, Alex Msama kwa niaba ya wajumbe wenzake wa bodi hiyo iliyozinduliwa hivi karibuni, alisema BASATA ina changamoto nyingi ikiwemo kukosa vyanzo vya