Quantcast
Channel: BongoClan Tanzania™
Browsing all 3623 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PAMOJA NA TABORA KUPELEKEWA WASANII WAKALI KAMA JUMA NATURE, SPECTOR HAROUN,...

Tamasha ambalo liliaminiwa kuwa tamu na zuri la ainia yake lageuka msumari wa moto kwa waandaaji baada kupata watu wachache sana huku wakiwa wameingia gharama nyingi katika maandalizi yao. Tamasha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HILI NDO GAZETI JIPYAAAA MTAANI KWAKO, LAFUNUA UCHAFU WA MANAIKI SANGA...

Gazeti jipya kabisa la Maskani limeanza kwa kumuanika muigizaji wa filam Manaiki Sanga anaejizolea umaharufu kwa kupiga picha za uchi na warembo wenye mvuto wa juu bongo na badae kumgeuka na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SOMA ALICHOANDIKA MUIGIZAJI BATULI KWENYE UKURASA WAKE WA FACEBOOK SIKU YA...

ou are My Son, My Prince, My Hero & My Everything....No Matter How Many Birthdays Come & Go, You'll Always Be My Little Boy, Mwenyezi Mungu Akuongoze, Akupe Maisha Mema, Akupe Maisha Marefu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAZAMA PICHA ZA JINSI MWILI WA YULE MWANAFUNZI MTANZANIA ALIYENYONGWA NCHINI...

Baadhi ya wanafamilia, ndugu, jamaa na marafiki wa familia ya Isaack Mruma wakiwa wamebeba sanduku lililohifadhi mwili wa marehemu Jerry Isaack Mruma katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAZAMA PICHA ZA KILICHOJIRI JANA KATIKA MKESHA WAKUMBUKUMBU YA MWAKA MMOJA...

Ilikua ni mwezi november tarehe 26 mwaka 2012 majira ya sa 2 usiku ndipo ziliposambaa taarifa za kifo cha muigizaji na msanii wa muziki wa kizazi kipya ‘Bongo Fleva’ Husein Ramadhan Mkieti ‘SHARO...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SOMA ALICHOKIANDIKA FACEBOOK ALIYEKUA MENEJA WA MAREHEMU SHARO MILIONEA,...

Hemed KavuNimejikuta nahamka ghafla sipati usingizi nikajiuliza nini? nikapata jibu kwamba natakiwa kusali na kumuombea ndugu yangu alietangulia mbele ya haki SHARO MILIONEA sina budi kufanya hivyo leo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DAIMOND AWATAJA MADEMU ZAKE WANNE, NA AKIRI KUMPENDA HUYU...!! SOMA HAPA KUMJUA

UKIFIKA katika mtaa anaoishi mwanamuziki Diamond maeneo ya Sinza Mori jijini Dar es Salaam utaanza kuhisi kuwa kuna staa anayeishi maeneo hayo, macho ya wengi huanza kumtazama mtu anayeelekea katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BONGO MOVIE WASUSIA TENA KISOMO CHA MAREHEMU SHARO MILIONE, WASANII WA KOMEDI...

  JB kiongozi wa kundi la Bongo Movie. SHARO MILIONEANa Sakina Shabani aliyepo TangaTarehe ya leo familia ya marehemu Sharo milione na watanzania wanamumbuka mwanamuziki huyo tangu alipotutoa mwaka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSANII STEVE RNB AMVALISHA PETE MCHUMBA WAKE, SOMA NA TAZAMA PICHA HAPA

Ni jambo la kawaida kwa wasanii wa bongoflava hasa wakubwa kama steve RnB kutembea na kila demu mzuri hapa bongo.lakini kwa steve ni tofauti kabisa kwani amefanikiwa kumvisha pete ya uchumba high...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UNAFAHAMU WAZAZI WA WALE WATOTO WALIOONA WAKIWA WADOGO WAMESEMAJE? TAZAMA...

Amos na Joyce Kiria wakizungumzaBila shaka utakuwa na kumbukumbu nzuri ya kisa cha Amos na Mary, watoto wadogo mkoani Dodoma waliofunga ndoa hivi karibuni. Baada ya miezi michache kupita, kipindi cha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HIVI NDIVYO DIAMOND ALIVYOWEKA USTAA PEMBENI NA KUANZA KUCHEZA MZIKI...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HII KALI KWA DIAMOND PLATNUMZ!!! AAMUA KUJIITA 'DOMO' INSTAGRAM...CHEKI HAPA

Diamond Platnumz aka Prezident wa WCB ametoa kali na mpya kwa kuamua kujiita 'DoMo' kupitia ukurasa wake wa Instagram kama unavyo ona hapo chini. Yawezekana amefikia hatua hiyo baada ya watu wengi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UNAWEZA ISIKILIZA AUDIO YA MNYIKA HAPA AKITOA BARUA ZA KUJIELEZA KWA ZITTO NA...

KAMA ULIIKOSA KHOTUBA YA MKURUGUNZI WA HABARI NA UENEZI WA CHADEMA MH JOHN MNYIKA AKITOA BARUA ZA KUJIELEZA KWA ZITTO NA WENZAKE MSIKILIZE HAPA KWA KIREFU ASEMA ANAWAPA MASAA 24 KWANINI WASIFUKUZWE...

View Article


SHUKRANI: JOYCE KIRIA NA TIMU NZIMA YA WANAWAKE LIVE INATOA SHUKRANI ZA DHATI...

Na Joyce Kiria Kipindio cha televisheni cha Wanawake Live kinapenda kuchukua nafasi hii kuwashukuru wadau wote kupitia mitandao yao katika kutoa support na kutuunga mkono ili elimu tunayotoa ifike...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAKUKURU KWA KUSHIRIKIANA WADAU WA MAPAMBANO DHIDI YA RUSHWA WAANDAA TAMASHA...

Afisa Mtendaji Mkuu wa Megamark Ltd. Chedi Ngulu (kulia) akizungumza na waandishi wa habari juu ya maadhimisho ya miaka 10 tangu kuanzishwa kwa Bodi ya ushauri wa Umoja wa Afrika ya kupambana na Rushwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI PETER KALLAGHE AITEMBELEA MERU SERVICES LTD.

Eneo la Canary wharf london ambalo Balozi Peter Kallaghe alifanya  ziara ya kutembelea kampuni ya Kitanzania, Meru Services LTD. Tarehe 23 Novemba 2013, Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Peter...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BODI YA BARAZA LA SANAA-TANZANIA WATANGAZA NEEMA KWA WASANII WA BONGOMOVIE....

Wajumbe wapya wa Bodi ya Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), wametaka kupewa miezi sita ili wasanii waanze kufaidi matunda yao   Alex MsamaAkizungumza na gazeti la Mwananchi juzi, Alex Msama kwa niaba...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZITTO KABWE ASABABISHA VIJANA WA CHADEMA WAPIGANE NA KUCHANA BENDEA ZA CHAMA...

Uamuzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wa kuwavua nafasi za uongozi vigogo wake watatu akiwamo aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu, Zitto Kabwe, umepokelewa vibaya na baadhi ya wafuasi wao ambao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DU! HII KALI!! WANAOTAKA UZAO WAJITOKEZA, BABA KANUMBA ATOA MASHARTI!!...

Baba wa marehemu Steven Kanumba, Charles Kusekwa. SOMA ZAIDI

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DU!! ATUHUMIWA KUMUUA BOSS WAKE KWA KOSA LA KUULIZWA UMECHELEWA WAPI?...TUKIO...

Kijana Daniel Kossam (21) anatuhumiwa wa  kumuua bosi wake Bi,Pelesi Chaula SOMA ZAIDI

View Article
Browsing all 3623 articles
Browse latest View live