Uamuzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wa kuwavua nafasi za uongozi vigogo wake watatu akiwamo aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu, Zitto Kabwe, umepokelewa vibaya na baadhi ya wafuasi wao ambao wameamua kupigana ngumi na kuchana bendera za chama hicho.
SOMA ZAIDI
↧
ZITTO KABWE ASABABISHA VIJANA WA CHADEMA WAPIGANE NA KUCHANA BENDEA ZA CHAMA CHAO..........SOMA HAPA
↧