TAZAMA PICHA 4 ZA MTOTO WA KIUME ALIYEZALIWA NA KEISHA SIKU 2 ZILIZOPITA
Hongera Keisha kwa kujifungua mtoto wa pili na wakiume,Jumatatu ya wiki hii kwenye hospitali ya Mount Mkombozi iliyopo Kinondoni.
View ArticleSNURA MUSHI AINGILIA KATI BIFU LA WEMA, KAJALA
MSANII wa filamu na muziki, Snura Mushi ameingilia kati ugomvi wa wasanii wenzake, Wema Sepetu na Kajala Masanja na kuwaagiza wamalize tofauti zao. Msanii wa filamu na muziki, Snura Mushi a.k.a mama...
View ArticleSIRI IMEFICHUKA... ZICHEKI SMS ZA MAPENZI KATI YA KAJALA NA ALIEKUWA BWANA WA...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida meseji za Aliyekuwa mpenzi wa zamani wa Wema Sepetu, Clement na aliyekuwa rafiki kipenzi Wa Wema, Kajala Masanja zimevuja jinsi walivyokuwa wanawasiliana, na...
View ArticleSIMULIZI YA AUNT EZEKIEL: ILIKUWA AOLEWE AKIWA MDOGO, AKATOROKA NYUMBANI KWAO!
Aunt Ezekiel.BAADA ya wiki iliyopita kumaliza mahojiano na Miss Tanzania 2006 aliye pia mwigizaji wa sinema za Bongo, Wema Isaac Sepetu, wiki hii tunaye supastaa mwingine. unaweza soma : YAJUE HAYA...
View ArticleMAKUBWA NA MAZITO..JIONEE PICHAZ LIVE HIRIZI ZAFUMWA NYUMBANI KWA WEMA...
Mlinzi wa ofisi ya Wema kiwa mlangoni kwa hofu baada ya kuona hirizi hizo zinazopumua..! unaweza soma : HIZI NDIO MBINU ZA KUMUWEZA, MWANAMKE ALIYE MGUMU KUTONGOZEKA Majirani wakiziangalia hirizi hizo...
View ArticleLULU AOMBA BASATA WARUHUSU KUFANYA MOVIE NUSU UTUPU WAENDANE NA SOKO LA...
DIVA wa filamu za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ameziomba mamlaka zinazosimamia maadili ya filamu nchini ziwaruhusu wasanii waigize nusu utupu ili kuendana na soko la kimataifa. unaweza soma :...
View ArticleDIAMOND PLATNUMZ AENDELEA KUWAGALAGAZA WASANII WA AFRIKA KWENYE NOMINATIONS...
Pamoja na kwamba tuzo za Kora hazina tena ‘kiki’ kama zamani, Diamond Platnumz ameendelea kuwagalaza wasanii wa Afrika kwakuwa jina lake ndilo limekuwa likitajwa zaidi na mashabiki kwenye akaunti ya...
View ArticleBOB JUNIOR AKANUSHA TETESI ZA GAZETI LA UDAKU KUWA AMEMLOGA...
Msanii wa muziki na producer wa Sharobaro Record, Bob Junior amekanusha habari zilizoandikwa na gazeti moja la udaku kuwa anamloga Diamond.Amesema hawezi Kufanya kitu kama hicho na Diamond atabaki...
View ArticleEXCLUSIVE INTERVIEW: JAQUELINE WOLPER AONGELEA KUHUSU KUBADILI DINI, KUACHANA...
Ni muda mrefu kidogo baada mwigizaji Mtanzania Jaqueline Wolper kutosikika akiyatoa ya moyoni kuhusu yote yaliyompata kwenye miezi iliyopita na kumfanya amiliki sana headlines za magazeti, blogs,...
View ArticleITASHANGAZA WENGI, ILA HAYA NI MAMBO AMBAYO NI DIAMOND NA WEMA TU, NDIO...
Hivi ni vitu ambavyo inabidi tu tuwaachie Diamond na Wema waendelee kufanya yao, wengine wabaki watazamaji tu, afterall siyo kila mtu yuko kwenye movie yao ambayo bado inaendelea, hii ni moja ya...
View ArticleUFUSKA BONGO MOVIES WAMKOSESHA DEAL MWIGIZAJI NORA
MWANADADA wa ‘long time’ kwenye sanaa ya uigizaji amejikuta katika wakati mgumu baada ya kukosa dili za kazi za maana kutokana na tabia za kifuska kwa baadhi ya wasanii wa kike wa Bongo Movie. Akipiga...
View ArticleMAIMARTHA ATUHUMIWA KUWAUZIA MASTAA DAWA ZA KUKUZA MAKALIO
MTANGAZAJI aliyepata kuwika katika vituo mbalimbali vya runinga Bongo, Maimartha Jesse, amedaiwa kuwauzia mastaa wa mjini dawa za kuongeza makalio.Habari za moto kutoka kwa sosi wa kuaminika, zinasema...
View ArticleENDLESS FAME FILMS WATOA KAULI KUHUSIANA NA UGOMVI WA WEMA NA KAJALA
Kampuni ya filamu ya Wema Sepetu, Endless Fame Films, leo imetoa kauli yake kuhusiana na ugomvi wa mmiliki wa kampuni hiyo na aliyekuwa rafiki yake wa karibu Kajala Masanja. Maneja wa kampuni hiyo,...
View ArticleBongo Movies: Picha za mwigizaji Sabby Angel zawa gumzo mitandaoni nchini Kenya
Muigizaji wa Bongo Movies, Salma Tamim (Sabby Angel) ambaye kwasasa anakuja kwa kasi kwenye tasnia ya uigizaji amezua gumzo kubwa sana kwenye mitandaoni ususani blogs maarufu za udaku nchini Kenya...
View ArticleReveased Photos za Kanye West na Kim wakiwa Vacation zimewashangaza wengi!!
Wengi imewashangaza kuona kuwa wawili hawa wanapata muda wa kukaa pamoja na kufanya vitu romantic kama kwenda Vacation, kuutokana na picha hizi zilizokuwa released hivi karibuni na magazeti ya udaku...
View ArticleBEYONCE NI GAIDI ‘ASEMA MWANAHARAKATI NA PROFESA WA MAREKANI
Mwanaharakati wa masuala ya wanawake na profesa wa Marekani, Gloria Jean Watkins maarufu kama ‘bell hooks’ amemuita Beyoncé kuwa ni gaidi kwa jinsi anavyowaharibu wasichana wadogo.Katika mazungumzo...
View ArticleBAADA YA KUFULIA SASA BABY MADAHA AAMUA KUOLEWA NA HUYU JAMAA
Stori: Gladness Mallya na Hamida HassanMSANII wa muziki na filamu Bongo, Baby Madaha na meneja wake, Joe Kariuki wanatarajia kufunga ndoa Novemba, mwaka huu nchini Kenya jijini Nairobi.Msanii wa muziki...
View ArticleUSAGAJI WAENDELEA KUWASUMBUA MASTAR WA BONGO, SOMA KILICHOMPATA DIDA WA TIMES...
Stori: Richard BukosDUNIA ina mambo! Prizenta wa Radio Times FM, Hadija Shaibu ‘Dida’ amezua timbwili baada ya kung’ang’aniwa na mwanamke mwenzake aliyedaiwa kutaka kumshawishi afanye naye mapenzi ya...
View ArticleDIDA AELEZA SABABU YA KUACHANA NA Q CHILLAH
Mwanadada Hadija Seif (Dida’s Fashion) aliyekuwa mke wa ndoa wa msanii wa muziki Q Chillah amefunguka kisa kilicho afanya waachane pamoja na jitihada alizozifanya kumnusuru msanii huyo na wimbi la...
View ArticleKUA WA KWANZA KUSIKILIZA WIMBO HUU MPYA KUTOKA KWA DIAMOND - KITORONDO
Free Music Player for Myspace at ReverbNation.com
View Article