EXCLUSIVE : TAZAMA PICHA ZA NYUMBA YA KISASA ANAYOJENGA MSANII STEVE NYERERE
Hii ni dalili tosha kua Bongomovie inalipa, Bongoclan inakuletea picha exclusive za nyumba ya msanii Steve Nyerere.
View ArticleBREAKING NEWS: MAHAKAMA KUU ZANZIBAR YAMUACHIA KWA DHAMANA ALIYETUHUMIWA...
BREAKING NEWS: Mahakama Kuu Zanzibar imemuachia kwa dhamana Omar Mussa Makame anayetuhumiwa kumuua Padri Evaristi Mushi baada ya kudhaminiwa na wadhamini wawili kwa dhamana ya shilingi laki 5 kila...
View ArticleBREAKING NEWS:BASI LA HOOD LIMITED LA PATA AJALI MKOANI MOROGORO
BREAKING NEWS: Mtu mmoja amekufa na wengine 27 kujeruhiwa baada ya basi la Hood Limited lililokuwa likitokea Mbeya kwenda Arusha kupata ajali eneo la Melela Mvomero, Mkoani Morogoro East Afica Television
View ArticleKIM K SHOWS OFF HER AMAZING POST-PREGNANCY BODY IN WHITE BIKINI
The figure on this woman tho. See the curves. The reality star showed off her sizzling post baby body during an outing with friends at the beach in Miami recently. More photos after the cut...
View ArticleKAJALA AKANUSHA SHUTUMA ZA KUTEMBEA NA MME WA SHAMIM MWASHA. SOMA...
Kweli walimwengu ni noma sana kwa kuzusha, hivi karibuni kulikua na habari za chinichini kua mwanadada kutoka bongo movie Kajala kua anatoka na mme wa blogger maarufu hapa bongo. Baada ya habari...
View ArticleHIVI NDIVYO MWENYEKITI WA CCM JIJINI MWANZA ALIVYOZIKWA NA UMATI MKUBWA WA...
Jeneza lenye mwili wa Clement Mabina likiwa mbele ya waombolezaji.Waombolezaji wakiwa katika ibada ya kuuombea mwili wa marehemu Mabina kwenye uwanja wa Ngomeni-Kisesa, Mwanza.Padre akiongoza ibada ya...
View ArticleMAKUBWA HAYA, RAYUU ATAMANI KUOLEWA NA KINGWENDU. AVUNJA UKIMYA NA KUSEMA...
MSANII wa kike wa filamu Bongo Alice Bagenzi ‘Rayuu’ amefunguka kwa kusema kuwa mwanaume sahihi kwake na anayestahili kumuoa ni Rashid Mizengwe ‘Kingwendu’ kwa kusema anaamini ndiye anaweza kuwa...
View ArticleNAY WA MITEGO AIBIA VIFAA VYA GARI LAKE VYENYE THAMANI YA TSH MILIONI...
Msanii wa Hip Hop, Nay Wa Mitego usiku wa kuamkia leo ameibiwa vifaa vya gari lake aina ya Toyota Verossa lenye namba T 418 CGK vyenye thamani ya shilingi milioni 4 lililokuwa limeegeshwa nyumbani...
View ArticlePICHA: DIAMOND ALA CHAKULA CHA MCHANA NA WATOTO YATIMA WA KITUO CHA...
Diamond Platnumz jana amerudisha fadhila kwa jamii kwa kuwatembelea watoto yatima waliopo Buguruni jijini Dar es Salaam na kula nao chakula cha mchana.Pamoja na kula nao, Diamond aliwapa fursa watoto...
View ArticleMARUFUKU KUVAA MINISKIRTS UGANDA......WABUNGE WAPITISHA MUSWADA WA...
Wabunge wa nchini Uganda leo wameupitisha muswada wa ‘anti-pornography’ utakaopiga marufuku uvaaji miniskirts na nguo zingine zinazotamanisha kimapenzi. Muswada huo unaopingwa vikali kama tishio kwa...
View ArticleRAPPER WITNESS SASA NI MGANGA, ANATIBU WATU KWA TIBA LISHE
Msanii wa zamani wa kundi la Wakilisha, Witness Mwaijaga, amesema pamoja na kufanya hip hop kwa sasa ni mfanyabiashara na mtaalam wa tiba asili zinazotumia vyakula vyenye virutubisho.Akizungumza na...
View ArticleNEWS ALERT; WAZIRI KAGASHEKI AMETANGAZA KUJIUZULU.........SOMA ZAIDI HAPA
Waziri wa Maliasili na Utalii Mh. Balozi Khamisi Kagasheki ametangaza nia ya kujiuzulu wadhifa wake dakika chache zilizopita bungeni mjini Dodoma,sababu kubwa ya kujiuzulu ni baada ya kusomwa ripoti...
View ArticleHAWA NDIYO MAWAZIRI WATATU WALIONG'ATULIWA MADARAKANI NA RAISI JK,,, IKIWEMO...
Rais Jakaya Kikwete jana Ijumaa (December 20) ametengua nyadhifa za Mawaziri wanne kufuatia ripoti ya kamati iliyoundwa kuchunguza matokeo ya Operesheni Tokomeza Ujangili iliyoendeshwa na wizara...
View ArticleTAZAMA PICHA: WACHEZAJI WA MANCHESTER UNITED WAKIONYESHA UPENDO WAO KWA...
Wachezaji wa Manchester United wametembelea katika hospitali mbili jijini Manchester ambazo ni Royal Manchester Children’s Hospital na The Christie. Wachezaji hao ni pamoja na Michael Carrick, Marouane...
View ArticleSOMA WALICHOKISEMA WATU MAARUFU KWENYE SOCIAL MEDIA BAADA TU YA MAWAZIRI...
Use Facebook to Comment on this Post
View ArticleANGALIA PICHA ZA MAPOKEZI YA ZITTO ALIVYOTUA KIGOMA MUDA HUU
Mbunge wa Kigoma kaskani Mh Zitto Kabwe akisalimiana na wakazi wa Kigoma mara baada ya Kuwasili kigoma asubuhi ambapoa wakazi wa kigoma wamejitokeza kwa wingi kumpokea Mbunge waoSOMA ZAIDI
View ArticlePICHA ZA BASI LA TAQWA LANUSURIKA KUWAKA MOTO.T.AZAMA HAPA
Basi la Taqwa lililokuwa na zaidi ya abiria 60 ambao wamenusurika kupoteza maisha yao baada ya basi hilo walilokuwa wakisafiria kutoka Dar es salaam kupitia mjini Ngara kueleke Jijini Bujumbura nchini...
View Article