NYUMBA HII NDO SEHEMU ALIYOZALIWA MWANADADA LADY JAYDEE, SOMA ALICHOKISEMA HAPA
Msanii Lady Jaydee anayetamba na vibao vya Joto Hasira alichomshirikisha rapper Prof. Jay na kibao cha Yahaya ambacho ni gumzo kwa sasa, anatarajia kuanzisha kitu kipya kabisa kupitia station ya...
View ArticleWASTARA AANZA SAFARI YA KUELEKEA SONGEA KWA AJILI YA KISOMO CHA MAREHEMU...
Mcheza filamu za kitanzania Wastara Sajuki ameondoka leo mkoani Dar es salaam kuelekea Songea kwenye kisomo cha marehemu mume wake Juma kilowoko(sajuki)
View ArticleBREAKING NEWZZZ..!! WAZIRI WA FEDHA WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DR....
Taarifa tulizozipata muda mfupi uliopita ni kuwa waziri wa fedha Dr. William Mgimwa amefariki Dunia.kaa nasi ili uweze kupata habari kamili..!!
View ArticleSOMA HAPA ALICHOKISEMA WASTARA IKIWA NI MWAKA MMOJA TU TANGU MME WAKE, AREHEU...
“Nani anaweza kunifanya nitabasamu kama wewe?iman yangu inasema hakuna lakini mungu pekee ndio anayenifanya nitabasam kupitia majaribu na maumivu ninayopitia ila hili la kukukosa wewe ni kubwa...
View ArticleHAYA SASA KWA WALE WAPENZI WA HAMMER Q, SIKILIZA NYIMBO YAKE MPYA KAMA ZAWADI...
Sikiliza na kudownload Nyimbo Mpya kabisa ya Hammer Q Hammer Q , January 1, 2014. NI ZAWADI KAITOA YA MWAKA MPYA KWA WAPENZI NA MASHABIKI WAKE.unaweza share
View ArticleBAADA YA JACK CLIFF KUKAMATWA NA MADAWA HUKO CHINA, RAY C AMUOMBEA JACK CLIFF...
Ni siku kadhaa zimepita toka taarifa itoke kwenye mitandao kadhaa ya nchini China kuhusu binti wa kitanzania mwenye umri wa miaka 28 akamatwe na dawa za kulevya zenye thamani ya zaidi ya dola za...
View ArticleKIBANDA AMPONDA MAGUFULI ASEMA ANASIFIWA NA WATANZANIA WAKATI HANA LOLOTE,...
Absalom Kibanda: Magufuli anasifiwa Tanzania wakati hana lolote Akiwa katika kipindi cha TV cha Asubuhi Leo ya Channel Ten, Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Bw. Absalom Kibanda amesema Magufuli...
View ArticleKULA DEAL FASTA: CASTING AND CREW CALL FOR A SHORT FILM
Casting and Crew Call for Dar es Salaam. Short Film “She, Classmate”Released On, January 1st, 2014 Production Title: She, Classmate Studio/Independent/Student: Independent Union/Non-Union: Non-Union...
View ArticleSIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO MPYA WA GEEZ MABOVU KWA AJILI YA WATU WALIOUSHA...
Huu wimbo ni spacial kwa wote walio amini kuwa Geez Mabovu atakata pumzi baada ya kuanguka zaid ya mara tano na kulazwa katika hospitali ya mkoa IRINGA.Hivyo kutokana na kauli za watu wachache zilizo...
View ArticleBREAKING NEWSS MOTO MKUBWA WAZUKA JANCO MOTEL JIJINI MBEYA USIKU HUU
Moto mkubwa umezuka katika hotel ya Janco forest mpya jijini Mbeya chanzo cha moto hakijajulikana mpaka tunaondoka katika tukio hiloPicha na Mbeya yetu Blog
View ArticleBASI UNAAMBIWA HIVI NDO VIOJA VILIVYOTOKEA MAHAKAMANI WAKATI WA HUKUMU YA...
Dar es Salaam,Tanzania MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imeahirisha kutoa hukumu ya kesi iliyofunguliwa jana na Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Zuberi Kabwe (Chadema), kuhusu ombi la kuitaka...
View Article"JAMANI HIVI WEWE NI NANI KWENYE USO WA HII DUNIA AMBAYE HUJAWAHI KU...."...
Jamani Ivi ni nani kwenye USO huu wa dunia ambaye ajawai kukosea??????Wapo binadamu wenzentu wanamakosa makuubwa Na hatuyajui na mengine yanajulikana....Kwanini tumekuwa mstali wa mbele kuwanyooshea...
View ArticleWATU 9 WAPOTEZA MAISHA KWENYE TUFANI YA THELUJI ILIOANGUKA MAREKANI KATIKA...
Pendera ikionekana imechanika kwenye ufukwe wa Scituate Massachusetts baada ya tufani ya theluji iliyoanguka siku ya alhamisi Jan 2, 2014 na kusababisha vifo vya watu 9 mji wa Boston imeanguka theluji...
View ArticleMNIGERIA ANASWA NA SEMBE UWANJA WA NDEGE BONGO LIVE!!
RAIA wa Nigeria, Okwubili Agu (40), amekamatwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere(JNIA) akiwa na pipi 71 za dawa za kulevya aina ya heroin, zenye thamani ya zaidi ya Sh milioni 54,...
View Article